Pre GE2025 Wanawake wamchangia Rais Samia Milioni 120 za Fomu ya Urais. Majaliwa aongoza zoezi, asisitiza Fomu ya Urais 2025 itakuwa Moja tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii nchi watu hawana akili,wanazo za kuvukia barabara tu. Yaani unatoa maji kisimani na kwenda kumwaga Baharini.
Nani kawachawia hawa mama zetu? UNAMCHANGIA MTU ANAEVAA SAA YA MAMILION ,KWA SAA YAKE ANACHUKUA FORM KIBAO YAANI. PUMBAFU ZAO KABISA HAO WAMAMA.

Hakuna uwezekano wa asimilia 100 wachangaji ni wanufaika wa uongozi wa Rais Samia.?

Na walipotoa sio sehemu ya rejesho lao kwa “mkuu?

Na huo mchango sio mchango ila ni Sawa na mchakato wa uwekezaji kwenye Mradi. (?)

Majina ya wachangiaji hizo pesa ni muhimu sana kufahamika kwa watanzania wote kwa ujumla wetu.

Kila jina na kiasi walichotoa itapendeza vikaambatanishwa hapa pia.

Vitatupa mwanga katika matukio ya mbele.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi.

Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa Ajili ya kugharamia fomu ya Urais.

Akiongea kwenye Hafla hiyp.PM Majaliwa amesisitiza kwamba CCM itachapisha fomu 1 tuu ya Urais 🤣🤣 hivyo wengine wajiandae kupiga kampeni.

=====

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza uchangishaji wa fedha kwa ajili ya kumwezesha Rais Dkt. Samia kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2025 na kusisitiza kwamba fomu ya urais kwa mgombea wa CCM itakuwa moja pekee.

Fedha hizo zimechangwa wakati wa mkutano ulioandaliwa na wanawake kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia, mazingira na afya ya mama na mtoto.

My Take
Hongera sana kina Mama kuonesha kwamba Samia anatosha zaidi ya kutosha.

Tukutane Oktoba 2025.
MIlioni 120 za fomu.

Kwani urais unauzwa shs ngapi huko CCM hadi zichangwe zote hizo?
 
Za kampeni hizo
Mnaonaje hizo zingetumika kununulia vofaatiba kwenye vituo vyetu vya afya vinavyosuasua?

Kwani kampeni ina nini hadi hela zote hizo zionekane ni muhimu kuliko uhai wa watanzania?
 
Halafu Kinana anawadanganya kuwa uchaguzi itakuwa huru na haki
Mtu ameanza kampeni muda mrefu toka ashike madaraka halafu mnasema uchaguzi utakuwa huru. Tunapozungumzia uchaguzi huru hatuzungumzii siku ya kupiga kura Bali taratibu zote za kabla ya uchaguzi.
 
wa kwenye zahanati vijijini wanafanya kazi 24hrs mkuu, sisi wa vijijini tunajua magumu yao maana ndiyo madaktari na kila kitu

Ndiyo kazi waliyoamua kusomea na kuifanya.

Na Kama wanaona hawapati haki stahili kwanini hawachukui hatua stahiki kuhakikisha wanapata haki zao?

Mtanzania akikuchangia pesa kwenye jambo lako, hilo ni Sawa na deni kwako. Hilijui hili?

Watayalipaje hayo madeni ya kuchangiwa za “shukran?
 
Si wamsimike tu huo urais kuliko kupoteza muda na fedha kupiga kampeni
 
Halafu wakitoka hapo wanaenda kuwaomba waume zao hela ya vikoba sh.20,000.
Ndio maana wanaume wanakufa mapema! Maana hapa mwanaume akiongea ukweli vita. Usikute hela ya matumizi uliyoacha yeye ndio kachangia fomu.
 
Alizochangiwa leo ataenda kupendeza nazo za kampeni ataingia hapo hazina kujichotea.

Hii nchi mbona mihela imejaa kila kona ni yeye tu kwenda kukinga na kisado.
Ila dolari ndio hamuna. !
Labda wajanja wamezisunda tayari !hawazitaki za madafu !
 
Tumpambe pambe, tumuweke mbeleee, tumempa jembe nyundo asonge mbele, kisha tufike-copyright Kapitein John Komba, kampeni za Mzee Mwinyi
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi.

Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa Ajili ya kugharamia fomu ya Urais.

Akiongea kwenye Hafla hiyp.PM Majaliwa amesisitiza kwamba CCM itachapisha fomu 1 tuu ya Urais 🤣🤣 hivyo wengine wajiandae kupiga kampeni.

=====

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza uchangishaji wa fedha kwa ajili ya kumwezesha Rais Dkt. Samia kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2025 na kusisitiza kwamba fomu ya urais kwa mgombea wa CCM itakuwa moja pekee.

Fedha hizo zimechangwa wakati wa mkutano ulioandaliwa na wanawake kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia, mazingira na afya ya mama na mtoto.

My Take
Hongera sana kina Mama kuonesha kwamba Samia anatosha zaidi ya kutosha.

Tukutane Oktoba 2025.
dalili, ishara na viashiria vyote vinaonyesha kwamba, jumuiya za wanawake, vyama vya kiraia, makundi maalum na
vyama vya siasa visivyopungua 19 vyenye usajili wa kudumu humu nchini, havitasimamisha wagombea Urais na badala yake, vitamuunga mkono comrade, Dr SSH mgombea urais wa CCM, tegemeo la ushindi wa kishindo, ishara ya uzalendo, na uhakika wa Amani, utulivu na maendeleo Tanzania 🐒

kibaraka atakua anatoa povu huko balaa 🐒
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi.

Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa Ajili ya kugharamia fomu ya Urais.

Akiongea kwenye Hafla hiyp.PM Majaliwa amesisitiza kwamba CCM itachapisha fomu 1 tuu ya Urais 🤣🤣 hivyo wengine wajiandae kupiga kampeni.

=====

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza uchangishaji wa fedha kwa ajili ya kumwezesha Rais Dkt. Samia kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2025 na kusisitiza kwamba fomu ya urais kwa mgombea wa CCM itakuwa moja pekee.

Fedha hizo zimechangwa wakati wa mkutano ulioandaliwa na wanawake kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia, mazingira na afya ya mama na mtoto.

My Take
Hongera sana kina Mama kuonesha kwamba Samia anatosha zaidi ya kutosha.

Tukutane Oktoba 2025.
Am 27. Siku nikiwa Rais nitatunga sheria ya kufuta hadhi ya Urais kwa Marais wote waliopata nafasi ya kuongoza na kuishia kuzurura na kutapeli wananchi. Huyu anayechangiwa ya fomu na wajinga nitamfuta siku hiyo hiyo
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi.

Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa Ajili ya kugharamia fomu ya Urais.

Akiongea kwenye Hafla hiyp.PM Majaliwa amesisitiza kwamba CCM itachapisha fomu 1 tuu ya Urais 🤣🤣 hivyo wengine wajiandae kupiga kampeni.

=====

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza uchangishaji wa fedha kwa ajili ya kumwezesha Rais Dkt. Samia kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2025 na kusisitiza kwamba fomu ya urais kwa mgombea wa CCM itakuwa moja pekee.

Fedha hizo zimechangwa wakati wa mkutano ulioandaliwa na wanawake kwa ajili ya kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia, mazingira na afya ya mama na mtoto.

My Take
Hongera sana kina Mama kuonesha kwamba Samia anatosha zaidi ya kutosha.

Tukutane CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
 
Safi sana,sioni wa kushindana na mama nje ya chama wala ndani
 
Back
Top Bottom