Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Hii nchi watu hawana akili,wanazo za kuvukia barabara tu. Yaani unatoa maji kisimani na kwenda kumwaga Baharini.
Nani kawachawia hawa mama zetu? UNAMCHANGIA MTU ANAEVAA SAA YA MAMILION ,KWA SAA YAKE ANACHUKUA FORM KIBAO YAANI. PUMBAFU ZAO KABISA HAO WAMAMA.
Hakuna uwezekano wa asimilia 100 wachangaji ni wanufaika wa uongozi wa Rais Samia.?
Na walipotoa sio sehemu ya rejesho lao kwa “mkuu?
Na huo mchango sio mchango ila ni Sawa na mchakato wa uwekezaji kwenye Mradi. (?)
Majina ya wachangiaji hizo pesa ni muhimu sana kufahamika kwa watanzania wote kwa ujumla wetu.
Kila jina na kiasi walichotoa itapendeza vikaambatanishwa hapa pia.
Vitatupa mwanga katika matukio ya mbele.