Wanawake wamefanikiwa kuwaaminisha wanaume kuwa Ngono ni Raha ya Mwanaume tu, wao hawapati chochote



Tanga kuna wimbo wa taarabu unasema ; “ mkuna na mkunwaji muona raha ni nani? 😛😍😘
 


Pia inafanana na zana potofu ya kusema “nimemzalia m(wa)toto”

Kwanini wewe mwanamke useme umemzalia
Mwanaume mtoto?
Mmezaa mtoto wenu au umemzalia mtoto wake?

Ni hila ya kutaka kuona kama vile amemfanyia jambo la hisani Mwanaume wakati ukute hata wakati wa kubeba hiyo mimba Mwanaume ha kuulizwa kabla iwapo anaridhia au la.
 
Na usipoomba mzigo kwa muda utaona vituko! Siku ya siku akilipuka utasikia "...kwanza hujanishika mwezi sasa! Lazima una mchepuko.."
Hawa viumbe kazi wanaume tunayo!
💭🤔😔
 
Msaada tutani..hivi mwanamke wa bukoba akisema nataka unipige maji huwa anamaanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…