Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI motoI hate ex's
KweliUkiona mtu anaroga hadi mtu anayelala naye na kumuhudumia kwa kila kitu, muogope sana
Daah na ni kweli mkuu, maana Sisi wanaume Akija mwanamke tuliyeachana nae miaka ya nyuma Akiwa na hali mbaya hua tuna moyo wa kumsaidia hata kama alizingua yeyeKiasili, wanawake Wana kauchawi fulani hivi, very natural. Mshana Jr atakuwa amenielewa vyema
Babe unaongea point sana siku mbili hizi kwani umekula nini cha ziada 👊🏿👊🏿👊🏿😘😘😘Do not harm your patient.
anyway sio tu mpaka Ex.
Usimtende matendo MWANAMKE hata akakuchukulia POA.
Siku akiamua kulipiza , atauvua uanaume wako wote
😳😳 wewe..KwaniniI hate ex's
Lakin masta ni mstaarabu pia.sisters wa Taraji walikuwa hawampendi mume wa Taraji (walichangia kuachana kwako pia)kama umeiangalia vizuri mwamba alikataa ku sign divorce paper mwisho wa siku akasign tu.kilichomuuma Taraji ni Kwamba wakati wanapitia maisha magumu mwamba alimhaidi kuishi maisha ya ndoto yake mwisho wa siku anayaona yale maisha anaishi na mwanamke mwingine.Dah jamaa kashonwa kama pindo za zile chupi za VIP..
Ila wanawake wanavisasi vya hatari, hasa kwenye mapenzi kuliko kitu chochote...
Mwanamke unaweza kumdhulumu mzigo mkubwa wa hela akachukulia poa tu hata kama ni ex wake..
Balaa ni pale agundue ulichomdhulumu unaenjoy na mwanamke mwingine asee!!!
Kuna muvi inaitwa Acrinomy imechezwa na Taraj P Henson, aliyecheza kama dem wa Tyrese kwenye Baby Boy, alimpenda jamaa akiwa mshamba tu hana kitu istoshe jamaa alisomeshwa na dem matokeo jamaa akagushi nyaraka zote za miliki za mama,mbaya zaidi akawa na mwanamke mwingine na mashauzi juu.
Daah mwanamke alipokuja kuamua kurevenge JAMAA ALIJAMBA MAVI
Hii hatari sana Mkuu!
Ukiwa na shida ndio furaha yake. Na si kwamba anafurahi ili akusaidie, la hasha, anatafurahia kuteseka kwakoDaah na ni kweli mkuu, maana Sisi wanaume Akija mwanamke tuliyeachana nae miaka ya nyuma Akiwa na hali mbaya hua tuna moyo wa kumsaidia hata kama alizingua yeye
Ila sio hawa viumbe aloo, anaweza kukumalizia kabisa ukafie mbali ani!!
Kwamba ili aseme "Mungu kampiga kwa aliyonifanyia" [emoji23]Ukiwa na shida ndio furaha yake. Na si kwamba anafurahi ili akusaidie, la hasha, anatafurahia kuteseka kwako
Utumbavu ghete ng'wanawiseKwamba ili aseme "Mungu kampiga kwa aliyonifanyia" [emoji23]