Wanawake wana kisasi kibaya sana, ole wako uingie kwenye 18 za X girlfriend wako uliyemuumiza moyo na hajakusamehe

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Screenshot_20211112-051819_Chrome.jpg
 
Kiasili, wanawake Wana kauchawi fulani hivi, very natural. Mshana Jr atakuwa amenielewa vyema
Daah na ni kweli mkuu, maana Sisi wanaume Akija mwanamke tuliyeachana nae miaka ya nyuma Akiwa na hali mbaya hua tuna moyo wa kumsaidia hata kama alizingua yeye

Ila sio hawa viumbe aloo, anaweza kukumalizia kabisa ukafie mbali ani!!
 
Dah jamaa kashonwa kama pindo za zile chupi za VIP..
Ila wanawake wanavisasi vya hatari, hasa kwenye mapenzi kuliko kitu chochote...
Mwanamke unaweza kumdhulumu mzigo mkubwa wa hela akachukulia poa tu hata kama ni ex wake..
Balaa ni pale agundue ulichomdhulumu unaenjoy na mwanamke mwingine asee!!!
Kuna muvi inaitwa Acrinomy imechezwa na Taraj P Henson, aliyecheza kama dem wa Tyrese kwenye Baby Boy, alimpenda jamaa akiwa mshamba tu hana kitu istoshe jamaa alisomeshwa na dem matokeo jamaa akagushi nyaraka zote za miliki za mama,mbaya zaidi akawa na mwanamke mwingine na mashauzi juu.
Daah mwanamke alipokuja kuamua kurevenge JAMAA ALIJAMBA MAVI
 
Do not harm your patient.

anyway sio tu mpaka Ex.

Usimtende matendo MWANAMKE hata akakuchukulia POA.

Siku akiamua kulipiza , atauvua uanaume wako wote
Babe unaongea point sana siku mbili hizi kwani umekula nini cha ziada 👊🏿👊🏿👊🏿😘😘😘
 
Dah jamaa kashonwa kama pindo za zile chupi za VIP..
Ila wanawake wanavisasi vya hatari, hasa kwenye mapenzi kuliko kitu chochote...
Mwanamke unaweza kumdhulumu mzigo mkubwa wa hela akachukulia poa tu hata kama ni ex wake..
Balaa ni pale agundue ulichomdhulumu unaenjoy na mwanamke mwingine asee!!!
Kuna muvi inaitwa Acrinomy imechezwa na Taraj P Henson, aliyecheza kama dem wa Tyrese kwenye Baby Boy, alimpenda jamaa akiwa mshamba tu hana kitu istoshe jamaa alisomeshwa na dem matokeo jamaa akagushi nyaraka zote za miliki za mama,mbaya zaidi akawa na mwanamke mwingine na mashauzi juu.
Daah mwanamke alipokuja kuamua kurevenge JAMAA ALIJAMBA MAVI
Lakin masta ni mstaarabu pia.sisters wa Taraji walikuwa hawampendi mume wa Taraji (walichangia kuachana kwako pia)kama umeiangalia vizuri mwamba alikataa ku sign divorce paper mwisho wa siku akasign tu.kilichomuuma Taraji ni Kwamba wakati wanapitia maisha magumu mwamba alimhaidi kuishi maisha ya ndoto yake mwisho wa siku anayaona yale maisha anaishi na mwanamke mwingine.

Hivi wanaume kama wa Taraji bado wapo!

Kisasi ni kibaya sanaa🙁
 
Daah na ni kweli mkuu, maana Sisi wanaume Akija mwanamke tuliyeachana nae miaka ya nyuma Akiwa na hali mbaya hua tuna moyo wa kumsaidia hata kama alizingua yeye

Ila sio hawa viumbe aloo, anaweza kukumalizia kabisa ukafie mbali ani!!
Ukiwa na shida ndio furaha yake. Na si kwamba anafurahi ili akusaidie, la hasha, anatafurahia kuteseka kwako
 
Back
Top Bottom