Mtoa mada anachelewesha Uzi[emoji3]Aisee[emoji23]
Dizaini ya watu Kama nyie ndio mlikuwa mkibaka maswali..😂Mtoa mada anachelewesha Uzi[emoji3]
Nenda nae taratibu chief, usijitese sana[emoji4]Ila kwa awamu hii nimeingia cha kike na date na mmarangu yaani ikifika wikiendi tu ndio naitwa majina mazuri mazuri baby, sweetheart, nipe ratiba yako leo [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Na mpango wa kumuacha maana nikipiga hesabu na huu mshahara wangu wa uticha ndio nachoka kabisa.
Ila toto ni toto kweli, guu hilo lina jua mambo hatari sema ila na mpango wa kumpiga chini hivi karibuni [emoji3][emoji3][emoji3]
Stori nusu nusu inaboa bhana, Bora ajipange alete complete.Dizaini ya watu Kama nyie ndio mlikuwa mkibaka maswali..[emoji23]
Nenda nae taratibu chief, usijitese sana[emoji4]
Aisee[emoji3]Ila mzigo na ufaidi now nimeangukia kwa bosslady mmoja, aisee ukiwa na kazi fulani fulani wanajileta wenyewe ni wewe tu…
Na bahati sana na hawa watu wa kaskazini [emoji3][emoji3]
Tulia wewe habari inakuja.unalipa kwani ? Ni free tuStori nusu nusu inaboa bhana, Bora ajipange alete complete.
Sasa unasoma page ya kwanza ukurasa no 1, yapili ukurasana Namba 28, ya tatu 69.
Wapi na wapi Sasa[emoji4]
Utafiti unaonyesha wana jf wengi ni walevi kutokana na nyuzi wanazoanzisha weekend, mfano ni huu uchafu aliouanzisha huyu mjinga.
😂😂Yani nyuzi za leo sielewi kitu kabisa yani
[emoji854]
Naona umelamba 'garasa' kwenye bandiko hili.
Mleta mada yuko 'vyombo'... kibanda kishawaka moto.
-Kaveli-