Wanawake wana siri nyingi sana

Wanawake wana siri nyingi sana

Ila kwa awamu hii nimeingia cha kike na date na mmarangu yaani ikifika wikiendi tu ndio naitwa majina mazuri mazuri baby, sweetheart, nipe ratiba yako leo [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Na mpango wa kumuacha maana nikipiga hesabu na huu mshahara wangu wa uticha ndio nachoka kabisa.

Ila toto ni toto kweli, guu hilo lina jua mambo hatari sema ila na mpango wa kumpiga chini hivi karibuni [emoji3][emoji3][emoji3]
Nenda nae taratibu chief, usijitese sana[emoji4]
 
Dizaini ya watu Kama nyie ndio mlikuwa mkibaka maswali..[emoji23]
Stori nusu nusu inaboa bhana, Bora ajipange alete complete.

Sasa unasoma page ya kwanza ukurasa no 1, yapili ukurasana Namba 28, ya tatu 69.

Wapi na wapi Sasa[emoji4]
 
Nenda nae taratibu chief, usijitese sana[emoji4]

Ila mzigo na ufaidi now nimeangukia kwa bosslady mmoja, aisee ukiwa na kazi fulani fulani wanajileta wenyewe ni wewe tu…

Na bahati sana na hawa watu wa kaskazini [emoji3][emoji3]
 
Ila mzigo na ufaidi now nimeangukia kwa bosslady mmoja, aisee ukiwa na kazi fulani fulani wanajileta wenyewe ni wewe tu…

Na bahati sana na hawa watu wa kaskazini [emoji3][emoji3]
Aisee[emoji3]
 
Stori nusu nusu inaboa bhana, Bora ajipange alete complete.

Sasa unasoma page ya kwanza ukurasa no 1, yapili ukurasana Namba 28, ya tatu 69.

Wapi na wapi Sasa[emoji4]
Tulia wewe habari inakuja.unalipa kwani ? Ni free tu
 
Tulipoishia katoe mimba neema .

E bana kakubali kwenda kutoa kiroho safi.
Sasa kaondoka home kwenda kutoa.
Badala ya kutoa akaacha mbarua mrefu sana na maelezo kibao
Kwamba nikifa mtafuteni huyu jamaa anwani hiyo hapo.
Akapotea.
E bwana na mimi nikaruka kiunzi
Silali geto.
Niko guest na mbususu tu kila siku.
Nikienda gheto ni kubadili tu pamba then naondoka.
Ndio sasa kukutana na mmarangu huyo.
Mkanywe maji kidogo
Tutaendelea
Yule binti yangu namwangalia mpk leo siamini yupo hai.
 
Utafiti unaonyesha wana jf wengi ni walevi kutokana na nyuzi wanazoanzisha weekend, mfano ni huu uchafu aliouanzisha huyu mjinga.
 
Back
Top Bottom