Wanawake wanajua ni muda gani sahihi wa kumshinda Mwanaume


Ndoa ya sasa ukitaka uimudu usitumie kanuni za wazee. Utapotea mapema Sana.

Utapeli njenje. Dawa ya utapeli ni kuishi kwa kanuni za kisasa
 
Ndoa ya sasa ukitaka uimudu usitumie kanuni za wazee. Utapotea mapema Sana.

Utapeli njenje. Dawa ya utapeli ni kuishi kwa kanuni za kisasa
Ni kwel kwasasa ni kanuni haswa tena zilenge taget za mbal saba huko.....nimegundua pia kuna haja ya kuwa na ubinafsi haswaaaa kwa baadhi ya mambo.....hii hata wazee wetu nadhan walilijua
 
Doh... Mwanamke ni nyoka kwa kweli, hapa ni kukataa ndoa tu. Bora kuzalisha huko mtaani abaki kwa wazazi wake na Mtibeli uendelee na mitikasi yako tu.
 
Doh... Mwanamke ni nyoka kwa kweli, hapa ni kukataa ndoa tu. Bora kuzalisha huko mtaani abaki kwa wazazi wake na Mtibeli uendelee na mitikasi yako tu.

Huwezi kuwa Mtibeli bila Kuoa.
Mtibeli lazima aoe,lazima awe na familia. Ni lazima. Na ni kipimo cha lazima kuthibitisha Utibeli wake.
 

Wanaume washiriki mbio ndefu za Marathon. Saikolojia ya kushinda hizi ni sawa na saikolojia ya kuishi na mke. Marathon muhimu sana.
 
Wito; ni vizuri unapoingia kwenye familia utende Haki, uwe mwaminifu, uwe na upendo, uwe na maarifa na akili kisha umche Mungu. Siku zote ukiwa na mambo hayo wewe ni mshind
 
Haijalish wake wangap au sio bwan Mtibeli[emoji848]

Kwa Watibeli Mke ni mmoja.
Baba ni mmoja
Mama ni mmoja.
Mungu ni mmoja.

Wengine ni mahawara(MICHEPUKO) kwa habari ya Mke.
Wengine ni Mama wadogo na wakubwa kwa habari ya Mama.
Wengine ni Baba wadogo na wakubwa kwa habari ya Baba.
Wengine ni miungu kwa habariya Mungu mkuu
 
Hawa vijana kila siku nawasanua lakini najua wengi hawawezi nielewa
Ni jana tu nlikua natafakari neno la "muishi nao kwa akili" unawezaje kuaswa uishi kwa akili na kiumbe kisicho na akili???

Anyway wanaume wengi hutuona hivyo kuwa wanawake hatuna akili....kwa niaba ya wanawake wote wa Africa mashariki nasema tawire😹😹 Hatuna akili.
 
Asante mkuu kwa SoMo hili,ulijuaje?
 
Ooh hapa ni suala la kiiman zaid.....sitasema zaid kuhusu polygamism.....asili yetu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…