Wanawake wanajua ni muda gani sahihi wa kumshinda Mwanaume

Umeenda vizuri mwishoni ukakosea hapo eti tenda haki,umche mungu!!

Nakuambia hata utende wema namna gani,usali vipi!ndoto take ikitimia imetimia utaisoma namba tu mkuu!!
 
Mi sijawahi kukupinga Taikon..
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Asante sana
 
Kijana unaogopa sana Wanawake. Inaelekea mkeo kakuweka kiganjani sana. Haya ndio matatizo ya kulelewa upande wa mama na wajomba na mama wadogo na bibi mzaa mama.

Unakuwa soft na kuamini mwanamke ndio kila kitu na anamzidi mwanaume mbinu sababu unamuona kila mwanamke katika sura na uwezo wa mama yako mzazi so unashindwa kung'amua uhalisia kutoka katika fikra zako.

MUNGU akusaidie sana aisee.
 
Hawa wanaopush ajenda sio wanaume wenzetu. Ni wale wanaume ambao miili ni ya kiume ila spirit ni ya kike.

Hawa ndio wamekua hawajui baba ni nini wamekaa na mama maisha yote so influence yake inakuwa ni ya kike.

Ndio maana wanaume kila uchao tunapiga vita sana masingle mother na influence yao kwenye jamii sababu inaleta madhara kwa uzao wa watoto wa kiume.

Ukiona tunawaandama single mother ni kwasababu ya hizi hasara.
 
Submission ya mwanamke haimaanishi wewe mwanaume umpe akili yako aichezee. Hakupi submission ili umcontrol bali ni ili afanikiwe kupata anachotaka kwako.

So if you are an intelligent man, utajua kuwa in this life, MUNGU kwanza, wewe unafuata then mwanamke, that's the arrangement. Sasa wewe ukifanikiwa ukaanza kumpandisha mwanamke juu ndipo hapo utakapoanza kusema haya maneno ya mkosaji "oooh mwanamke akiamua lake hashindwi" "oooh mwanamke akilipiza kisasi hadi shetani anakaa kujifunza".

Haya yote ni matokeo ya kugeuka na kumpa kisogo MUNGU halafu macho na akili yako ukavigeuza kwa mwanamke, unategemea nini hapo kikukute.

Mwanaume mambo yanakuwa magumu unakwenda kulia lia kwa mkeo badala ya kuongea na MUNGU wako akupe majibu na kukuonyesha njia.

Unafanikiwa badala ya kusema na MUNGU maneno ya shukurani wewe unamnunulia gari mwanamke na kumuandika mrithi wa mali zako badala ya kumuendea MUNGU na kumshukuru kwa kila alilokufungulia.

Kumbuka, MUNGU kwanza, Mwanaume anafuata, kisha anakuja mwanamke, usiharibu huo utaratibu.
 
Ukikutana na mwanamke na akakupatia sawasawa hata hiyo kanzu ya u-chungaji au u-shehe utavua wewe wacha kuleta porojo hapa. Kuna wachungaji na ma-shehe wangapi wameanguka kwa sababu ya wanawake. Gwajima na kelele zake zote aliangukia kwenye mtego akakuta ana-rekodi yeye mwenyewe. Sikatai kuwa kuna wanaume wenye dini na wanaweza kuepuka majaribu lakini ni wachache sana. Tena basi sehemu kama Ulaya hawafuati dini ki-hivyo lakini wanaume wa huko wanaweza kuwa waaminifu kuliko sisi huku kwetu tunaolitaja jina la Mungu kila baada ya sentensi moja.
 
Umesomeka-japo Kuna wanaume wamebahatika kupata wake wema kwakweli. Wengine sasa ndiyo tusubirie fainali uzeeni na visukari vyetu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
So katika hayo yote ulichojifunza ni kuanguka pia kama wengine au umejifunza uzembe unafanyika wapi ili usianguke kama hao uliowataja?

Kuna movie moja nilitazama jina nimelisahau (Nakumbuka kama ilikuwa inaitwa VIRTUOSO) nikilikumbuka nitakuja kuedit hapa niweke jina. Ila ni movie inayohusu HITMAN m'moja mkali sana na very Smart.

Ikafika muda wa huyo Hitman kutolewa kafara ili nae apotezwe. So jina lake likawekwa kwenye hit list na akaingizwa kwenye mtego na hitman wa kike hadi huyo demu akamuua.

Sasa kitu kimoja nakukumbusha tena. Maneno haya aliyazungumza hitman mwingine, akasema "in this wild world, two Things you should put first, GOD and your mind instincts. A woman never wants you but something you got is what she wants. Never give her your attention and mind no matter how they make you feel, pay heed to God directions only.
 
Kwa sisi watabe tukishaing'amua hiyo mbinu kitambo sana hivyo tunaishi na kujipanga kimkakati Ili hayo yakitokea Isiwe tabu kuyakubali na ku move on.

Sisi watabe hatutarajii mrejesho chanya Kwa Watoto au Kwa mwanamke tukiwa kwenye Hali uliyoitaja hivyo tunajipanga hivi Sasa.

Habari ya kuwekeza Nguvu kubwa sana Kwa Watoto wakati watakutelekeza uzeeni ni upuuzi.

Mke sio.mama Yako 😁😁
 
Uko sawa Mtibeli
 

Na mama yako sio wΓ©we.
Hii dunia kila mtu yupo kwaajili yake mwenyewe. Hiyo ni kanuni ya asili.

Sio ajabu huyo Mamaako akiambiwa achague mtoto mmoja kati ya aliowazaa ukajikuta haumo
 
Na mama yako sio wΓ©we.
Hii dunia kila mtu yupo kwaajili yake mwenyewe. Hiyo ni kanuni ya asili.

Sio ajabu huyo Mamaako akiambiwa achague mtoto mmoja kati ya aliowazaa ukajikuta haumo
Ni sawa kabisa ila Bora huyo kuliko Mke ambae ni rafiki wa kutiana mkizinguana Kila mtu anarudi njia aliyoitumia.

Mwisho kati ya watu 100,stori Yako huwakuta wanaume wasiozidi 10 na wengine sio kwamba eti hawakucheat Bali generally ni watu wema tuu.
 
Kwa hiyo wanawake wanasubiria situation kama hii hapa πŸ‘‡?

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1774753657965187296?t=MG143QGfQVH0-saHEkZ2NA&s=19
Waambieni kwamba Kwa Sasa hatuweki mayai yote kwenye kapu Moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…