Wanawake wanakusubiri kwenye finish line

Demu alikuwa mhaya nini
 
FINISH LINE NYINGI KWA WALIO OA ipo hivi
 

Attachments

  • IMG-20240906-WA0012.jpg
    59.3 KB · Views: 4
We ni Mwanaume
 
Mkuu na wewe unatuchanganya sometime.

Mwanaume kwa Mwanamke hana kitu kingine anachotafuta zaidi ya Sex. Ndio maana wanawake wanaichukulia Sex kama bidhaa muhimu sana kutokana na uhitajio wake.

Kwa kuwa wanaume kipaumbele chao ni sex sasa wanawake wanakosa gani wakitumia bidhaa hiyo kuwadaka?
Hata hawa Wakataa ndoa ukiwemo na wewe You still need Sex from Them. Watakudaka tu somewhere sometimes
 
Ila we jamaa nakukubali sana.
wanawake na wanaume Loosers hupende kujificha kwenye vimisemo vya kipuuzi eti don't look the past,no one is perfect😆😆😆
 
Ni kweli mkuu, majukumu ya mwanamke ni kutunza familia, haya ya utafutaji yamefanya dunia ipinduke.
 
Mwanaume kwa Mwanamke hana kitu kingine anachotafuta zaidi ya Sex.
Hapa unaongela hook up mkuu, kuna uzi mmoja nilisema unapoingia kwenye mahusiano lazima ujue kwanza lengo ni nini? kutimiza haja zako kingono?(ndicho unachoongelea wewe), unatafuta partner wa maisha? n.k. ukijichanganya hapo kuingia kwenye mahusiano kwa lengo tofauti na unalokusudia ndio mwisho wake vilio.
 
Nimekupata mkuu ngoja nikomae nikifika hatua ya finish line,nitakupa mrejesho
 
Natafuta Ajira unajitahidi kutupigania na kutufundisha Sana wanaume dhidi ya hao wafanya biashara wa mapenzi.

Sio siri, mbinguni una sehemu yako ya kuishi ukiwa kama kiongozi wa kondoo kadhaa.

Ahsante.
Mifumo ya kidunia yote inaelekeza nguvu kwenye kumsaidia, kumlinda na kumkomboa mwanamke

Mwanaume akiyatimba hana mkombozi anaishia kuwa laughing stock tu, kwaiyo ni jukumu letu sisi wenyewe wanaume kuelekezana na kusaidiana kwa sababu mifumo yote ya kidunia ishatutenga.
 
hii umeiweka kiume sana mtaalam,akili kubwa imetumika
 
Noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…