Wanawake wanakusubiri kwenye finish line

Wanawake wanakusubiri kwenye finish line

yeah ni kweli kabisa wapo wanaoanza starting line chini kabisa unakuwa nae. point sio eti yupo nawewe ukiwa unajitafuta cha msingi sana angalia matendo yake akati upo chini anabehave vipi, kwa matendo gani kwako. bado ninajitafuta nilikuwa na binti ninampenda sana, yaani nikajiapia huyu ndio wa maisha, nitengeneze nae maisha huwa nina commitment kwa demu mmoja tu. akija geto tuishi wote ninapamba kukidhi mahitaji yake, care, kumjali kadiri niwezavyo kwa pesa iliopo. ajabu matendo yake sasa, eti anataka majukumu ya ndani tuwe tunafanya wote, eti tuishi kwa partnrship kwa kazi zake za ndani😁, kufanya majukumu yake ya ndani kama mwanamke ni mpaka ugomviugomvi tu. kukupatia chini ni mpaka umuabu, yaani kutoa K iligeuka ni kama nafanya ibada kwake.hajali hisia zako kabisa, hajitoi, ubinafsi wa hali ya juu. rekebisha kwa kila namna harekebishiki,

badae ndio nikagundua huyu yupo ivi na anatanya haya kwangu ni kwasababu sina maisha bado. hivyo anaona akijitoa kwangu na kuplay part yake kikamilifu anaona ni kama sistahili vile au anapoteza, ni ubinafsi wa hali ya juu sana. binti kama huyo unategemea life likitiki nitabaki nae. aliporejea kwao na kujaribu kuongea nae kuhusu izo mambo nikajibiwa hayo ndio maisha nataka nishi na mwanaume wangu. nilipiga chini mara moja.

since then nikikutana na dume limemuacha mpenzi wake walieanza nae chini simshangai kabisa. au nikikuta mwanamke analialia kuachwa na mwanaume aliyeanza nae chini sishangai.

pia sikatai wapo wanaume wanaowaacha bila hatia wanawake walioanza nao tangu chini.
Demu alikuwa mhaya nini
 
FINISH LINE NYINGI KWA WALIO OA ipo hivi
 

Attachments

  • IMG-20240906-WA0012.jpg
    IMG-20240906-WA0012.jpg
    59.3 KB · Views: 4
mkuu ni miezi karibu mitatu tuu tangu nipige chini ile serious. aliporeje kwao nilifurahi sana moyoni. nilijiona ni kama nimetua mzigo vile. hivyo sijawahi kabisa kuwa na hamu nae hata ya kumfuatilia..

hakuwa na kazi yeyote, kusema ajira labda inamuweka busy au uchovu kuchoka hamna. ila hiyo kutokuwa na kazi kwangu haikuwa tatizo kabisa coz naamini majukumu rasmi ya mwanamke ni kuzaa kulea na kutunza familia sio kutafuta hela au kulisha familia. na wale wanawake mama wa nyumbani mimi ndio choice zangu izo.

wengi wa wanawake wanahesabu kali sana wanapoamua kuolewa.
We ni Mwanaume
 
Wanawake wanafikiri kitendo cha kuwa around tu wakati mwanaume anajitafuta basi wana haki ya kunufaika na mafanikio pale mwanaume uyo atakapojipata.

Hawajitathmini mchango wao kipindi mwanaume uyo anajitafuta. Wakifanya wema sana basi ni kukupa sex wakifikiri huo ndio wajibu wao pekee.


Hapa suala sio mwanamke kuanza chini na mwanaume suala ni uyo mwanamke alikua na output ipi kwenye iyo safari ya mapambano. Kama katika iyo safari alichokua anaprovide mwanamke ni sex tu basi uyo ni halali kuachwa
Mkuu na wewe unatuchanganya sometime.

Mwanaume kwa Mwanamke hana kitu kingine anachotafuta zaidi ya Sex. Ndio maana wanawake wanaichukulia Sex kama bidhaa muhimu sana kutokana na uhitajio wake.

Kwa kuwa wanaume kipaumbele chao ni sex sasa wanawake wanakosa gani wakitumia bidhaa hiyo kuwadaka?
Hata hawa Wakataa ndoa ukiwemo na wewe You still need Sex from Them. Watakudaka tu somewhere sometimes
 
Pambana mkuu, na utakapojipata don't settle for less., sio wewe upo kwenye starting line wanawake wanakitombesha tu kwa wahuni halafu ukifika finish line unawakuta washachoka, matiti yameshuka kama kandambili, washakua single mothers ndo wanakujia na misemo yao eti watu wanabadilika, maisha yamenifundisha, past doesn't matter na upumbavu wao mwingine, piga chini izo takataka unless if you want to pipe and swipe.
Ila we jamaa nakukubali sana.
wanawake na wanaume Loosers hupende kujificha kwenye vimisemo vya kipuuzi eti don't look the past,no one is perfect😆😆😆
 
mkuu ni miezi karibu mitatu tuu tangu nipige chini ile serious. aliporeje kwao nilifurahi sana moyoni. nilijiona ni kama nimetua mzigo vile. hivyo sijawahi kabisa kuwa na hamu nae hata ya kumfuatilia..

hakuwa na kazi yeyote, kusema ajira labda inamuweka busy au uchovu kuchoka hamna. ila hiyo kutokuwa na kazi kwangu haikuwa tatizo kabisa coz naamini majukumu rasmi ya mwanamke ni kuzaa kulea na kutunza familia sio kutafuta hela au kulisha familia. na wale wanawake mama wa nyumbani mimi ndio choice zangu izo.

wengi wa wanawake wanahesabu kali sana wanapoamua kuolewa.
Ni kweli mkuu, majukumu ya mwanamke ni kutunza familia, haya ya utafutaji yamefanya dunia ipinduke.
 
Mwanaume kwa Mwanamke hana kitu kingine anachotafuta zaidi ya Sex.
Hapa unaongela hook up mkuu, kuna uzi mmoja nilisema unapoingia kwenye mahusiano lazima ujue kwanza lengo ni nini? kutimiza haja zako kingono?(ndicho unachoongelea wewe), unatafuta partner wa maisha? n.k. ukijichanganya hapo kuingia kwenye mahusiano kwa lengo tofauti na unalokusudia ndio mwisho wake vilio.
 
Pambana mkuu, na utakapojipata don't settle for less., sio wewe upo kwenye starting line wanawake wanakitombesha tu kwa wahuni halafu ukifika finish line unawakuta washachoka, matiti yameshuka kama kandambili, washakua single mothers ndo wanakujia na misemo yao eti watu wanabadilika, maisha yamenifundisha, past doesn't matter na upumbavu wao mwingine, piga chini izo takataka unless if you want to pipe and swipe.
Nimekupata mkuu ngoja nikomae nikifika hatua ya finish line,nitakupa mrejesho
 
Natafuta Ajira unajitahidi kutupigania na kutufundisha Sana wanaume dhidi ya hao wafanya biashara wa mapenzi.

Sio siri, mbinguni una sehemu yako ya kuishi ukiwa kama kiongozi wa kondoo kadhaa.

Ahsante.
Mifumo ya kidunia yote inaelekeza nguvu kwenye kumsaidia, kumlinda na kumkomboa mwanamke

Mwanaume akiyatimba hana mkombozi anaishia kuwa laughing stock tu, kwaiyo ni jukumu letu sisi wenyewe wanaume kuelekezana na kusaidiana kwa sababu mifumo yote ya kidunia ishatutenga.
 
Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa.

Usivunjike moyo, focus yako iwe katika mbio za marathon, wanawake wapo kule kwenye finish line wamejipanga wanasubiri kuona nani ataibuka mshindi waanze kumgombania.

Utakapofanikiwa kukata utepe wa finish line itakua ni ngumu kwako kuwa commited kwa mwanamke mmoja, kama wewe ni dungadunga hawa wanawake waliokuumiza kichwa ukiwa kwenye start line, utawagonga mpaka utawaona kero.

Pia soma: Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?

This is because you will find out women are cheap, are everywhere and almost all of them have just one same thing to offer(pussy).

Sasa ukifika hapo kwenye finish line usijisumbue kutafuta mapenzi ya kweli, tafuta mwanamke mwenye quality unazozitaka na akili ya kuongeza output kwenye lengo la maisha yako.

Dhumuni la kupambania mafanikio ni kuwa na uhuru wa kuchagua kilicho bora amongst the rest.

Na hapa usiwe na huruma kabisa, kwa faida ya future yako unatakiwa kuwa mbaguzi wa kiwango cha juu kabisa, no room for single mothers, retired hoes or undercover prostitutes, unless if you want to hit and run. Judge a woman harshly according to her quality, status and past.
hii umeiweka kiume sana mtaalam,akili kubwa imetumika
 
Wengi wanajiweka tu wakisikilizia kunufaika endapo potential yako ikikubali, usijisahau sana ukafikiri anakupenda kwa kidogo unachompa, inawezekana akawa yupo tu kwako kwa sababu hajajitokeza wa kumpa kikubwa anachokitamani, siku akijitokeza uyo mwanaume inawazekana wewe ukaachwa solemba. Hata ivyo ukimpata ambae alikua na wewe kuanzia kwenye starting line basi usimuache
Noma sana!
 
Back
Top Bottom