Wanawake wanakusubiri kwenye finish line

Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa.

Usivunjike moyo, focus yako iwe katika mbio za marathon, wanawake wapo kule kwenye finish line wamejipanga wanasubiri kuona nani ataibuka mshindi waanze kumgombania.

Utakapofanikiwa kukata utepe wa finish line itakua ni ngumu kwako kuwa commited kwa mwanamke mmoja, kama wewe ni dungadunga hawa wanawake waliokuumiza kichwa ukiwa kwenye start line, utawagonga mpaka utawaona kero.

Pia soma: Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?

This is because you will found out women are cheap, are everywhere and almost all of them have just one same thing to offer(pussy).

Sasa ukifika hapo kwenye finish line usijisumbue kutafuta mapenzi ya kweli, tafuta mwanamke mwenye quality unazozitaka na akili ya kuongeza output kwenye lengo la maisha yako.

Dhumuni la kupambania mafanikio ni kuwa na uhuru wa kuchagua kilicho bora amongst the rest.

Na hapa usiwe na huruma kabisa, kwa faida ya future yako unatakiwa kuwa mbaguzi wa kiwango cha juu kabisa, no room for single mothers, retired hoes or undercover prostitutes, unless if you want to hit and run. Judge a woman harshly according to her quality, status and past.

you will found????

Hizi shule mlienda kusomea ujinga?
 
Ma-SIMP wa jamii forum umewaamulia,dawa ziwakolee kweli kweli.
Mafemenist kama Jadda wakipita nyuzi kama hizi lazima wakunje uso
 
Hit and Run ndio habari ya maana..

Usiwekeze hisia kwa Ke wala usiruhusu yeye awekeze kwako.. ni vyema wote mkikaa mjue mpo ktk status gani.. kwamba hapa ni show tu na si kwa ajili kuwekeza hisia.
Kuna wanaume bado hawataki kuelewa kwamba kwa sasa tupo kwenye kizazi cha mapenzi ya kuviziana, kila mmoja anakaa kitaalamu, atakaeingia kwenye mfumo wa mwenzake anapigwa uppercut, mchezo umeisha. These men are in love while women are in business.
 
Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa.

Usivunjike moyo, focus yako iwe katika mbio za marathon, wanawake wapo kule kwenye finish line wamejipanga wanasubiri kuona nani ataibuka mshindi waanze kumgombania.

Utakapofanikiwa kukata utepe wa finish line itakua ni ngumu kwako kuwa commited kwa mwanamke mmoja, kama wewe ni dungadunga hawa wanawake waliokuumiza kichwa ukiwa kwenye start line, utawagonga mpaka utawaona kero.

Pia soma: Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?

This is because you will found out women are cheap, are everywhere and almost all of them have just one same thing to offer(pussy).

Sasa ukifika hapo kwenye finish line usijisumbue kutafuta mapenzi ya kweli, tafuta mwanamke mwenye quality unazozitaka na akili ya kuongeza output kwenye lengo la maisha yako.

Dhumuni la kupambania mafanikio ni kuwa na uhuru wa kuchagua kilicho bora amongst the rest.

Na hapa usiwe na huruma kabisa, kwa faida ya future yako unatakiwa kuwa mbaguzi wa kiwango cha juu kabisa, no room for single mothers, retired hoes or undercover prostitutes, unless if you want to hit and run. Judge a woman harshly according to her quality, status and past.
Eti?
 
👍
 
Ndio maana nikasema ukiwa kwenye starting line uisvunjike moyo, ni mapoto ya kawaida kwa mwanaume lakini utakapofika kwenye finish line na wewe don't settle for less.

Sio anakuja mwanamke wahuni washamchimbua madini yote halafu anakwambia upumbavu wa past doesn't matter.
The past of woman matters as much as the future of a man matters.

The value of woman is in her past.
The value of a man is in his future.

Women have much to lose.
Men have much to gain.

Femininity is preserved.
Masculinity is built.
 
Wengi wanajiweka tu wakisikilizia kunufaika endapo potential yako ikikubali, usijisahau sana ukafikiri anakupenda kwa kidogo unachompa, inawezekana akawa yupo tu kwako kwa sababu hajajitokeza wa kumpa kikubwa anachokitamani, siku akijitokeza uyo mwanaume inawazekana wewe ukaachwa solemba. Hata ivyo ukimpata ambae alikua na wewe kuanzia kwenye starting line basi usimuache
Sasa siku nyingine ndio uanzishe uzi kuwaambia wanaume wenzio kwamba wakipata wanawake waliokubali kuwavumilia kwenye race, basi wakifika kwenye finish line wasiwaache siyo kila siku unaanzisha nyuzi za kutukana wanawake tu ilihali wakati mwingine tatizo liko upande wenu, hilo haliwasaidii na hamuwakomoi wanawake maana siku hizi wako tayari kwa lolote lile mtakaloamua hawajali tena
 
Nitaandika uzi wa topic ninayoitaka mimi, kama unataka uzi wenye topic unayoitaka wewe basi andika uzi wako.
 
Tatizo lipo kwenu, mnafikiri mchango wenu kwa mwanaume ni sex tu. Mwanaume ambae umemsaidia mawazo mazuri, connection, network, fedha n.k kuanzia kwenye starting line sio rahisi kukuacha akifika finish line., but if all the way what you brought to the table is pussy tegemea kuachwa tu.
Hakuna mwanaume anayeweza kumuacha mwanamke ambae amemvumilia na kumshika mkono ktk magumu.

Unakuta mwanaume hujajipata ila una mwanamke ambae anakuwa jeuri, mdangaji, n.k kisha ukijipata ndo anaanza kuwa humble kwako, hii haikubaliki.
 
Wanawake wanapokubali kuingia kwenye mahusiano wanafikiri kwamba wanatufanyia favor wanaume ndio maana hata kama mwanamke hana output yoyote katika mafanikio ya mwanaume bado anafikiri ana haki ya kunufaika na hayo mafanikio kwa sababu tu alikua around kipindi mwanaune unajitafuta.

Kuwa around pekee haitoshi kujipa uhalali wa kujipa haki ya kuwa mnufaika, uhalali wa kunufaika unatokana na mchango wa uyo mwanamke. Mwanamke alileta nini mezani, alileta connection?, alileta network?, alileta pesa? alichangia ujuzi?

Sasa wanawake kwa sababu tu kuanzia hapo kwenye starting line mpaka finish line wao walikua wanaprovide sex tu ndio wanajipa haki ya mnufaika, wakati huduma ya sex mwanaume anaweza kwenda kununua hata kwa kahaba.
 
Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa.

Usivunjike moyo, focus yako iwe katika mbio za marathon, wanawake wapo kule kwenye finish line wamejipanga wanasubiri kuona nani ataibuka mshindi waanze kumgombania.

Utakapofanikiwa kukata utepe wa finish line itakua ni ngumu kwako kuwa commited kwa mwanamke mmoja, kama wewe ni dungadunga hawa wanawake waliokuumiza kichwa ukiwa kwenye start line, utawagonga mpaka utawaona kero.

Pia soma: Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?

This is because you will find out women are cheap, are everywhere and almost all of them have just one same thing to offer(pussy).

Sasa ukifika hapo kwenye finish line usijisumbue kutafuta mapenzi ya kweli, tafuta mwanamke mwenye quality unazozitaka na akili ya kuongeza output kwenye lengo la maisha yako.

Dhumuni la kupambania mafanikio ni kuwa na uhuru wa kuchagua kilicho bora amongst the rest.

Na hapa usiwe na huruma kabisa, kwa faida ya future yako unatakiwa kuwa mbaguzi wa kiwango cha juu kabisa, no room for single mothers, retired hoes or undercover prostitutes, unless if you want to hit and run. Judge a woman harshly according to her quality, status and past.
Mwanangu nimekutumia M-PESA 10000
na kam weekend upo DSM nichek
tuna BEACH PART babu kubwa la kukata na mundu ni wewe tu kuja na pamba kali unyunyu wa maaana
Mademu utawakuta wa kumwaga
Ni muda wa kutafuna mbususu tu sasa
 
Nitaandika uzi wa topic ninayoitaka mimi, kama unataka uzi wenye topic unayoitaka wewe basi andika uzi wako.
Kungwi vipi bana mbona unapanic tatizo siyo wewe kuandika au kutokuandika nilichokuambia, ila tatizo ni ukiendelea kuandika nyuzi za kutukana wanawake tu unafanya kazi bure, kwanza hata wewe mwenyewe si umeona jinsi wengi walivyokupa za uso kwenye comments na wengi ni wanaume wenzio wakati wewe ulitarajia watakuunga mkono masikini
 
Back
Top Bottom