Wanawake wanamidomo michafu sana

Jamani tuvumiliane tuu maana mazoea hujenga tabia na tabia ni kama ngozi haibadiliki.
 
Nilivyo na mwili jumba mwanamke gani atathubutu kunitukana mubashara kabisa..... ndio faida ya kuwa mlevi wa gym
 

Nafaham ninachokiongea sababu naishi na mwanamke, sijakataa wao kukosolewa, napinga hoja yako iliyodai kuwa ukimthamini au kumjali mwanamke utaonekana chizi duniani.
 
Nafaham ninachokiongea sababu naishi na mwanamke, sijakataa wao kukosolewa, napinga hoja yako iliyodai kuwa ukimthamini au kumjali mwanamke utaonekana chizi duniani.
Sijasema kumjali au kumthamini mkuu. Nimesema ukijali kila anachoongea mwanamke utakuwa chizi.
Hasa mwanamke mjinga ndio utakufa kabisa.
 
Mkuu umenichekesha nanukuu "kujikuta upo kwenye wodi za agakhan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"
 
Binafsi Huwa nasema Mwanaume hatakiwi kushindana na mwanamke. Atapoteza kesi tu aisee[emoji38] [emoji38]


Kwa kweeli kuna wanawake wanayajua maneno ya kuudhi si mchezo, usiombe mkutane kwenye ugomvi. Hata wanaume pia wapo ila hawawezi kutufikie sie bhana
 
Usiombe ukakutana na mzaramo haa haa
Utajuta kuzaliwa
 
Mbona umegeneralize??
Sio wote wana maneno hayo au mda huo.mi mda wa kumtukana mtu mzima na timamu zake nautolea wapi!?
Kuna wanawake wanajua kusave energy zao kufanyia mambo mengine.
Na pia wanaogopa kuonekana wendawazimu


U said it all mm ni mwanqamke lakini deep inside sipend matusi na sijui ht kupangilia hayo matusi yaan mimi hakuna kbs sio wote,yaan unikute namtukana mtu ah wap sina huo muda weng watukanaji mara nying wanakuwa wana fruastions kali sn ,hawawez kuzicontrol,wotetuna stress lakin sio ndo unikosee kiduchu ndo nifungulie bomba la matusi kha....sio wote kbsaaa
 



hahahahha pole sana mkuu sasa mama ameingiaje hapo dah pole nyingi..usigeuze kichwa utakwishaa
 
Na unafikir wako salama? Je alijenga picha gani mbele ya Mungu na wazee waliokuwepo kwenye hicho kikao? Kufungua miradi ndio ndoa itakua salama? Baada ya matusi yale cheki mahusiano yao na Mungu. ..hivi utamkie mume wako wa ndoa matusi ya nguoni na kumtukania mama yake aliemzalia huyo mume anayemtukana then you just walk free na maisha yaende vizuri? Na huyo mama mzazi alietukaniwa alikua hapo?
Fuatilia na watoto wao tabia zao..kama hilo tukio liliachwa kama lilivo nakuambia hawatasogea popote, usijidanganye na miradi!! Ulimi ni mbaya sana
 


kabisa mkuu smtym bora kudhibiti hasira zako aic,mby mno hyo inakuw km laana ya ndoa kila mnachofanya kinafail
 
Tena wakionaga haitoshi wanakusanyana mafungu mpaka mlangoni hapo ndo utatia akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…