Duuh, hii iposiku ntakuja kuijaribu aiseeUkitaka kujua mkeo hakupendi mtanie Mwambie siku ukifa yeye atarithi kila kitu na pesa iliyoko Benki... Hata km huna pesa benki. Akitabasamu kwa kauli yako hiyo ujue huna mke hapo na akisikitika ujue anakupenda sana hataki akupoteze
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna Madem ni shidaaa Msione wanasali makanisani
kwa Kulia hadi makamasi mkajua wanaombea Nchi
yetu isiingie Vitani,au wanaombea Mayatima,Kuna
Madem wanalia na
kulia na Mengi,Wengine wanaomba Waume Zao
wafe ili Walithi Nyumba..Huwa Nikiwaza Kuoa natetemeka mpaka najisikia kunena kwa Lugha
RikababantarikatakayasatahabatarekisataraKANT
ANGAZEshataayahma
MUNGU SAIDIA KIZAZI HIKI!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ukitaka kujua mkeo hakupendi mtanie Mwambie siku ukifa yeye atarithi kila kitu na pesa iliyoko Benki... Hata km huna pesa benki. Akitabasamu kwa kauli yako hiyo ujue huna mke hapo na akisikitika ujue anakupenda sana hataki akupoteze
umepotea sana Valentina........Ha ha haa
Jambo kijana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nipo humu kila siku. We ndo umepotea buanaumepotea sana Valentina........
Jambo ValeJambo kijana
Kanisani umeenda leo kweli veve?Jambo Vale
Acha hizo bhana[emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kanisani umeenda leo kweli veve?