Wanawake Wananichosha Hapa Tu..!!

Wanawake Wananichosha Hapa Tu..!!

Hivi wanawake wameumbwa na Udongo wa Rufiji au vipi maana ukimpenda sana anakuona boya, Ukiwa nae karibuu muda wote anasema jamaa lina wivu too much, Ukimlia bati kama humuoni anasema you dont care, Ukiwa mtata
anasema you are so harsh na you are not loving.

Sasa tuwafanyeje jamani, huu ubavu mlioumbwa ulikuwa wa mwanaume au ubavu wa ndama jike?
 
Ishi na sisi kwa akili. Lia bati kidgo wivu kiasi mtata kiasi. Mshaambiwa ishini na sisi kwa akili we sijui unatumia nn
 
Ishi na sisi kwa akili. Lia bati kidgo wivu kiasi mtata kiasi. Mshaambiwa ishini na sisi kwa akili we sijui unatumia nn
Nanyinyi mmeambiwa muishi nasisi kwa papuchi? Au
 
Unanikumbusha dada mmoja muumini mzuri sana wa dini flan, pale Ubungo. Huyu alikua anakesha kanisan, anasali mpaka analia machozi. Pia amekua anaombea watu na wanamshukuru,
Mara nyingi amekua anashauri Mambo mema, na mm nilikua namtegemea sana kiushauri.
Katutapel milioni moja na simu kabiblock tokea mwaka jana Mpaka Leo hii
Mtaje mbona kama namjua mi mwenyewe kanitapeli hela nyingi tu, nadhani atakuwa ndo huyohuyo. Halafu anaonekana mlokole kweli
 
Back
Top Bottom