Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaje mbona kama namjua mi mwenyewe kanitapeli hela nyingi tu, nadhani atakuwa ndo huyohuyo. Halafu anaonekana mlokole kweliUnanikumbusha dada mmoja muumini mzuri sana wa dini flan, pale Ubungo. Huyu alikua anakesha kanisan, anasali mpaka analia machozi. Pia amekua anaombea watu na wanamshukuru,
Mara nyingi amekua anashauri Mambo mema, na mm nilikua namtegemea sana kiushauri.
Katutapel milioni moja na simu kabiblock tokea mwaka jana Mpaka Leo hii