Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Ha haaa basi jitahidi isome freshNtajaribu...japo mmh wanawake wa cku izi ATM lazma iwe inasoma vizuri ndo unaweza ukakaa nae.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaa basi jitahidi isome freshNtajaribu...japo mmh wanawake wa cku izi ATM lazma iwe inasoma vizuri ndo unaweza ukakaa nae.....
ndio mana natimiza kauli mbiu ya hapa kazi tu...........Ha haaa basi jitahidi isome fresh
Na ujue kutoa pia. Usiishie kwenye kazi tundio mana natimiza kauli mbiu ya hapa kazi tu...........
bingo[emoji122]Ukitaka kujua mkeo hakupendi mtanie Mwambie siku ukifa yeye atarithi kila kitu na pesa iliyoko Benki... Hata km huna pesa benki. Akitabasamu kwa kauli yako hiyo ujue huna mke hapo na akisikitika ujue anakupenda sana hataki akupoteze
Ina nnDuuh, hiyo avatar yako imenifanya nisizi kwa muda...
[emoji23] [emoji23]Na ujue kutoa pia. Usiishie kwenye kazi tu
Sawa... Mradi usiwe mchoyo tu[emoji23] [emoji23]
We Valentina ww .....ntamuhudumia tu lakni sio kutoatoa
Vijana mnataka mchungulie bibi zenu... Salaleeehaya mambo yalianzia kwa baba yetu Adam, sie tumerithi tu.
He hee huambulii kitu walawe mtoto ujue utanifanya nikuendee kwa kalumanzila,
Una undugu na bokoharamu niniwe bisha bisha tu, nakuendea kwa babu aka sangoma, akili zikikurudia utajikuta unanyonyesha mtoto wangu,
Mie siombi afe ili nirithi.., ila namuombea uzima aendelee kuzitafuta ziendelee kuwepo za kutosheleza matumizi bila kujibanaUkitaka kujua mkeo hakupendi mtanie Mwambie siku ukifa yeye atarithi kila kitu na pesa iliyoko Benki... Hata km huna pesa benki. Akitabasamu kwa kauli yako hiyo ujue huna mke hapo na akisikitika ujue anakupenda sana hataki akupoteze
Mmh,,,,aisee hapo kuna kaukweli lakini,,,,Usifanye mchezo na hela wewe.... Wanawake rafiki yao sio sisi, rafiki yao ni hela
Yaani hapa anathibitisha kauli ya jamaa kuwa wanawake rafiki zao ni ATM sio sisi,,,kama haisomi,,,basi huna rafikiHa haaa basi jitahidi isome fresh
umaezidisha sasa,hakuna mwanamke wa kulia kukuombea ufe ili arithi nyumba,labda umeoa shetani ukafananisha na binadamuKuna Madem ni shidaaa Msione wanasali makanisani
kwa Kulia hadi makamasi mkajua wanaombea Nchi
yetu isiingie Vitani,au wanaombea Mayatima,Kuna
Madem wanalia na
kulia na Mengi,Wengine wanaomba Waume Zao
wafe ili Warithi Nyumba..Huwa Nikiwaza Kuoa natetemeka mpaka najisikia kunena kwa Lugha
RikababantarikatakayasatahabatarekisataraKANT
ANGAZEshataayahma
MUNGU SAIDIA KIZAZI HIKI!
Jitahidi tu zisome lolsYaani hapa anathibitisha kauli ya jamaa kuwa wanawake rafiki zao ni ATM sio sisi,,,kama haisomi,,,basi huna rafiki
Lini atapatikana msichana asiejali kama ATM inasoma zero au figure flani? Kwake yeye ni mapenzi ya dhati. Hivi ndoo wameisha kweli?Jitahidi tu zisome lols