Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Looh basi mpango huo na ufe tuWe mwenye kipaji unatakiwa u-concentrate kwenye tahajudi mie ndo mtunza hazina[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Looh basi mpango huo na ufe tuWe mwenye kipaji unatakiwa u-concentrate kwenye tahajudi mie ndo mtunza hazina[emoji23]
natimiza kauli mbiu ya rais wetu, hapa kaz tu.......Nipo humu kila siku. We ndo umepotea buana
Usisahau na kufyatuanatimiza kauli mbiu ya rais wetu, hapa kaz tu.......
[emoji23] [emoji23]Usisahau na kufyatua
Hebu angalia angalia bana,huwezi kosa[emoji23] [emoji23]
Cjapata wa kufyatua nae[emoji12]
Pia nawe uache kuchunguza wanawake na kuwasema sema.Acheni kutuchunguza... Shens....
Nawe nani kakwambia tunaomba mfe??Nani amekwambia mi nna michepuko????
Mie mzee hivihata wewe si unafaa?
Unanikumbusha dada mmoja muumini mzuri sana wa dini flan, pale Ubungo. Huyu alikua anakesha kanisan, anasali mpaka analia machozi. Pia amekua anaombea watu na wanamshukuru,Kuna Madem ni shidaaa Msione wanasali makanisani
kwa Kulia hadi makamasi mkajua wanaombea Nchi
yetu isiingie Vitani,au wanaombea Mayatima,Kuna
Madem wanalia na
kulia na Mengi,Wengine wanaomba Waume Zao
wafe ili Warithi Nyumba..Huwa Nikiwaza Kuoa natetemeka mpaka najisikia kunena kwa Lugha
RikababantarikatakayasatahabatarekisataraKANT
ANGAZEshataayahma
MUNGU SAIDIA KIZAZI HIKI!
Achana na drama za jf,utapata shida ya bure wengi ni waongeaji,hamna ukweli hapoDuuh, hii iposiku ntakuja kuijaribu aisee
Vijana wa sikuhizi mmepinda wallahyaani nyie wazee ndio mnakuaga watamu,
Usifanye mchezo na hela wewe.... Wanawake rafiki yao sio sisi, rafiki yao ni helaUnanikumbusha dada mmoja muumini mzuri sana wa dini flan, pale Ubungo. Huyu alikua anakesha kanisan, anasali mpaka analia machozi. Pia amekua anaombea watu na wanamshukuru,
Mara nyingi amekua anashauri Mambo mema, na mm nilikua namtegemea sana kiushauri.
Katutapel milioni moja na simu kabiblock tokea mwaka jana Mpaka Leo hii
Usijali, nitawakumbusha, alafu huwa siwaonei bhanaAlafu mkuu naomba siku uje utoe mada kuhusu baadhi ya wanaume kujifunza usafi kuanzia nguo ya ndani,hd mwili jamani,mim juzi nilipand bas sasa nilikuwa nimekaa kweny kiti sasa bas limejaa san alafu pemben yng kuna kijan kasimama sasa ile bas linaend huku n huku yule kaka anafanya km kuegemea upande wangu yani harufu niliyokuwa naisikia huko sehem za siri nilisikia tumbo linanivuruga sana ikabidi niteremke makumbusho nimsubir nimtu anifate,ht km somo limenipita km umelitoa bs naomb uliludie,usafi muhimu maana unawez ukadhan panya kafia ndani ya chupi,na wakati maji ya kuoga mtu unayo na sabun ya magadi zipo..uwaambie maan sio kutuonea sisi
Ntajaribu...japo mmh wanawake wa cku izi ATM lazma iwe inasoma vizuri ndo unaweza ukakaa nae.....Hebu angalia angalia bana,huwezi kosa