Wanawake Wananichosha Hapa Tu..!!

Wanawake Wananichosha Hapa Tu..!!

Kuna Madem ni shidaaa Msione wanasali makanisani
kwa Kulia hadi makamasi mkajua wanaombea Nchi
yetu isiingie Vitani,au wanaombea Mayatima,Kuna
Madem wanalia na
kulia na Mengi,Wengine wanaomba Waume Zao
wafe ili Warithi Nyumba..Huwa Nikiwaza Kuoa natetemeka mpaka najisikia kunena kwa Lugha
RikababantarikatakayasatahabatarekisataraKANT
ANGAZEshataayahma
MUNGU SAIDIA KIZAZI HIKI!
braza naona una utani na wamachame......hahahahahahahha
 
umaezidisha sasa,hakuna mwanamke wa kulia kukuombea ufe ili arithi nyumba,labda umeoa shetani ukafananisha na binadamu
khaa... Wapo wengi tu na ushahidi ninao
 
Hahaa. .kuna kaukweli hapa, dada wa Msuya alijaribu kufatilia kifo cha kaka yake na yeye akatiwa kibeliti
 
Kuna Madem ni shidaaa Msione wanasali makanisani
kwa Kulia hadi makamasi mkajua wanaombea Nchi
yetu isiingie Vitani,au wanaombea Mayatima,Kuna
Madem wanalia na
kulia na Mengi,Wengine wanaomba Waume Zao
wafe ili Warithi Nyumba..Huwa Nikiwaza Kuoa natetemeka mpaka najisikia kunena kwa Lugha
RikababantarikatakayasatahabatarekisataraKANT
ANGAZEshataayahma

MUNGU SAIDIA KIZAZI HIKI!
nilipoweka red color ni lugha gani hebu nitafsirie maana sijui ingekuwa Kiswahili ningengamua umeandika nini mkuu
 
hahaha na sie tukiwaona wanaume wananena kwa lugha tujue,washavurugwa huko mtaani ,michepuo ishaharibu hehehe
hivi kunena kwa lugha ndo kufanya nini mkuu? nimepitwa hii lugha naona sielewi maana mtoa mada nae kasema kunena kwa lugha ndo nn?
 
Back
Top Bottom