Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Wapo ila ni wachache... Wanapatikana kwa tochiLini atapatikana msichana asiejali kama ATM inasoma zero au figure flani? Kwake yeye ni mapenzi ya dhati. Hivi ndoo wameisha kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo ila ni wachache... Wanapatikana kwa tochiLini atapatikana msichana asiejali kama ATM inasoma zero au figure flani? Kwake yeye ni mapenzi ya dhati. Hivi ndoo wameisha kweli?
Heri yangu mi shaajipatia wanguuu,,,,,,,ila wadogo zetu wana kazi sanaa,,Wapo ila ni wachache... Wanapatikana kwa tochi
braza naona una utani na wamachame......hahahahahahahhaKuna Madem ni shidaaa Msione wanasali makanisani
kwa Kulia hadi makamasi mkajua wanaombea Nchi
yetu isiingie Vitani,au wanaombea Mayatima,Kuna
Madem wanalia na
kulia na Mengi,Wengine wanaomba Waume Zao
wafe ili Warithi Nyumba..Huwa Nikiwaza Kuoa natetemeka mpaka najisikia kunena kwa Lugha
RikababantarikatakayasatahabatarekisataraKANT
ANGAZEshataayahma
MUNGU SAIDIA KIZAZI HIKI!
Ana karama ya tafsri ya lugha na karama ya kupambanua roho.Na wewe umejuaje wanaombea hayo?
Wale wanaotafuta wachumba/waume hujawaona humu JF???!!![emoji23] [emoji23]
Cjapata wa kufyatua nae[emoji12]
Mkuu humu JF unaweza ukauziwa mbuzi kwny gunia .....Wale wanaotafuta wachumba/waume hujawaona humu JF???!!!
Kwani si tunawaona jinsi wanavyotafuta mbinu za kutumaliza???
una mchela nyumbani maana unaweza kupata mshtuko kwa yatakayojitokeza then iwe shida mkuuDuuh, hii iposiku ntakuja kuijaribu aisee
nilipoweka red color ni lugha gani hebu nitafsirie maana sijui ingekuwa Kiswahili ningengamua umeandika nini mkuuKuna Madem ni shidaaa Msione wanasali makanisani
kwa Kulia hadi makamasi mkajua wanaombea Nchi
yetu isiingie Vitani,au wanaombea Mayatima,Kuna
Madem wanalia na
kulia na Mengi,Wengine wanaomba Waume Zao
wafe ili Warithi Nyumba..Huwa Nikiwaza Kuoa natetemeka mpaka najisikia kunena kwa Lugha
RikababantarikatakayasatahabatarekisataraKANT
ANGAZEshataayahma
MUNGU SAIDIA KIZAZI HIKI!
hivi kunena kwa lugha ndo kufanya nini mkuu? nimepitwa hii lugha naona sielewi maana mtoa mada nae kasema kunena kwa lugha ndo nn?hahaha na sie tukiwaona wanaume wananena kwa lugha tujue,washavurugwa huko mtaani ,michepuo ishaharibu hehehe
haya,tuna uzoefu tofautikhaa... Wapo wengi tu na ushahidi ninao