Wanawake Wananichosha Hapa Tu..!!

Wanawake Wananichosha Hapa Tu..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kuna Madem ni shidaaa Msione wanasali makanisani
kwa Kulia hadi makamasi mkajua wanaombea Nchi
yetu isiingie Vitani,au wanaombea Mayatima,Kuna
Madem wanalia na
kulia na Mengi,Wengine wanaomba Waume Zao
wafe ili Warithi Nyumba..Huwa Nikiwaza Kuoa natetemeka mpaka najisikia kunena kwa Lugha
RikababantarikatakayasatahabatarekisataraKANT
ANGAZEshataayahma
MUNGU SAIDIA KIZAZI HIKI!
 
hahaha na sie tukiwaona wanaume wananena kwa lugha tujue,washavurugwa huko mtaani ,michepuo ishaharibu hehehe
 
Ukitaka kujua mkeo hakupendi mtanie Mwambie siku ukifa yeye atarithi kila kitu na pesa iliyoko Benki... Hata km huna pesa benki. Akitabasamu kwa kauli yako hiyo ujue huna mke hapo na akisikitika ujue anakupenda sana hataki akupoteze
Duuh, hii iposiku ntakuja kuijaribu aisee
 
Kuna Madem ni shidaaa Msione wanasali makanisani
kwa Kulia hadi makamasi mkajua wanaombea Nchi
yetu isiingie Vitani,au wanaombea Mayatima,Kuna
Madem wanalia na
kulia na Mengi,Wengine wanaomba Waume Zao
wafe ili Walithi Nyumba..Huwa Nikiwaza Kuoa natetemeka mpaka najisikia kunena kwa Lugha
RikababantarikatakayasatahabatarekisataraKANT
ANGAZEshataayahma
MUNGU SAIDIA KIZAZI HIKI!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ukitaka kujua mkeo hakupendi mtanie Mwambie siku ukifa yeye atarithi kila kitu na pesa iliyoko Benki... Hata km huna pesa benki. Akitabasamu kwa kauli yako hiyo ujue huna mke hapo na akisikitika ujue anakupenda sana hataki akupoteze
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hahahahahaha Jf raha tupu...hahah ila wanawake kwa usanii huo hawajambo...
 
Back
Top Bottom