Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kinyaaa, ptuuuuTrump anapiga kila kona,ameanza na suala la talaka,sasa yupo na wafungwa wanawake wanaobadili jinsia,najua suala la wahamiaji haramu na mashoga atakuja na sheria kali. Ivi mm ni me, je naweza badili jinsia na kuwa ke niwe napigwa miti? Inawezekana?
lisu hapana ungesemea late JPM, alikuwa anapiga vita sana mashoga,mwanafunzi akipewa mimba,akijifungua arud shule,ufisadi lisu hana lolote zaidi ya kubwabwaja tTrump kama lisu tu, hacheki na kima
Iyo safi wakakutane na wanaume Og waone motoKatika mabadiliko makubwa ya sera, utawala wa Trump umeamuru kwamba wanawake wanaobadili jinsia (transgender women) walioko katika magereza ya Marekani wahamishiwe kwenye magereza ya wanaume. Uamuzi huu tata umeibua mijadala mikali kuhusu haki za watu wanaobadili jinsia, mageuzi ya mfumo wa magereza, na usalama wa wafungwa.
Hatua hii inawaathiri maelfu ya wanawake wanaobadili jinsia kote nchini, na kusababisha wasiwasi mkubwa juu ya usalama wao katika magereza ya wanaume. Watetezi wengi wa haki za binadamu wanasema sera hii inahatarisha ustawi wa wafungwa wanaobadili jinsia, huku wengine wakidai kuwa ni muhimu kudumisha mgawanyo wa kijinsia katika magereza.
Uamuzi huu unatarajiwa kuathiri kesi za kisheria zinazoendelea kuhusu jinsi watu wanaobadili jinsia wanavyotendewa katika mfumo wa magereza ya Marekani. Wabunge na mashirika ya utetezi wa haki za binadamu wanatarajiwa kushinikiza sheria mpya zitakazolenga usalama na haki za kibinadamu za watu wanaobadili jinsia walioko magerezani.
View attachment 3215238
holohololisu hapana ungesemea late JPM, alikuwa anapiga vita sana mashoga,mwanafunzi akipewa mimba,akijifungua arud shule,ufisadi lisu hana lolote zaidi ya kubwabwaja t
Naam, waone uanaume ukoje. Baada ya miexi sita watabadili maamuziSawa kabisa,
Si wametaka wenyewe uananume,basi wakae kwenye gereza la wanaume.
Dah,Wanawake Wanaobadili Jinsia katika Magereza ya Marekani waamriwa kuhamishiwa Magereza ya Wanaume
Magufuli aliwahi lini kukemea ushoga, usagaji kwa ukali? Kama anavyofanya Trump?lisu hapana ungesemea late JPM, alikuwa anapiga vita sana mashoga,mwanafunzi akipewa mimba,akijifungua arud shule,ufisadi lisu hana lolote zaidi ya kubwabwaja t
Ukiacha kuwa uume Anakuwa na vitu vingi vya kike kama maziwa, shape na ulaini wa mwanamke hali hiyo ni kama umempeleka mwanamke jela ya wanaume, watabakwa sanaAtabakwa vipi na yeye huku mbele ni mwanaume...?
adhabu zina kiwango na mipaka huwezi kuhalalusha ubakaji kama adhabu ,tumia akili kidogoWewe nawe ficha ujinga wako. Kwahiyo hao wanachofanya ni sahihi na sasa wanaonewa. Kila kitu kina consequence zake haya moja ya athari ni hizo wapambane
Ni upasuaji ama anakunywa dawa za homoni za kujaza matitiWengine wanayo bandia ila wengine hawana shimo lipo pale pale kma una mfahamu chokuu yule kafanya upasuaji wa maziwa ila yeye mwanaume now ana maziwa ila sio kama ya mwanamke yake katikati kuna uwazi mkubwa
Yuko sahihi kabisa huyu Mzee.Katika mabadiliko makubwa ya sera, utawala wa Trump umeamuru kwamba wanawake wanaobadili jinsia (transgender women) walioko katika magereza ya Marekani wahamishiwe kwenye magereza ya wanaume. Uamuzi huu tata umeibua mijadala mikali kuhusu haki za watu wanaobadili jinsia, mageuzi ya mfumo wa magereza, na usalama wa wafungwa.
Hatua hii inawaathiri maelfu ya wanawake wanaobadili jinsia kote nchini, na kusababisha wasiwasi mkubwa juu ya usalama wao katika magereza ya wanaume. Watetezi wengi wa haki za binadamu wanasema sera hii inahatarisha ustawi wa wafungwa wanaobadili jinsia, huku wengine wakidai kuwa ni muhimu kudumisha mgawanyo wa kijinsia katika magereza.
Uamuzi huu unatarajiwa kuathiri kesi za kisheria zinazoendelea kuhusu jinsi watu wanaobadili jinsia wanavyotendewa katika mfumo wa magereza ya Marekani. Wabunge na mashirika ya utetezi wa haki za binadamu wanatarajiwa kushinikiza sheria mpya zitakazolenga usalama na haki za kibinadamu za watu wanaobadili jinsia walioko magerezani.
View attachment 3215238
Kivipi wakati kawapeleka sehemu sahihi waliko wanaume wenzao?H
HIi hatari sana watabakwa sana magereza ya kiume trump ana akili fupi sana, huwezi kuwaadhobu watu namna hii ,huu ni uuwaji pamoja na makosa yao