Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Nimeshajionea mara kadhaa hasa hizi pisi za chini ya miaka 26 huwa wanajiona dunia ni yao na wa kupanga vigezo ni wao.

Kuwa approach mabinti wa umri huu wengi mkizinguana kidogo tu hawaoni shida ku break up, usipokuwa na gari ama vimali ni ngumu kumpata, n.k.

wafika 30 sasa ndio utaanza kuona vimbweka, ni muda ambao hata chai ya kwenye friji inalainisha andazi.

wao ndio huanza kujilengesha hapa na sio siri kwa wanaume wanaowajua wanachopitia huwageuza sehemu ya kuahidi ndoa, wakichapa wanasepa wanaenda kwa wengine.

Nina class mate wangu wa form 5 hadi tunamaliza wote degree alinipa nyodo sana maana kwakweli alikuwa mzuri na alijua hilo akaona sina nafasi kwake kwa hali yangu kiuchumi kwa enzi zile, niliwahi kutupa ndoano ila niliishia kula nyundo za mbavu. Ajabu ni kwamba baada ya miaka kadhaa kuna siku nipo whatsapp nakutana na mesej yake kunijulia hali ilinishangaza, nilishajua namna ya kuucheza mchezo nilijifanya mjinga nicheze kama alivyodhania, kimasihara kabisa kwa gharama ndogo sana nilimla na nikampiga nikampa makavu kwamba mimi nilikuwa namtamani tu, nyodo zake za zamani ndio zilinipa moto wa kumsasambua, ndoa niliyomwambia nilimpiga a,e,i,o,u nikatokomea.


Kiufupi nilipata habari baada yangu ndani ya miaka miwili hivi kuna wadau wengine wawili nawajua waliweza kupata joto na kusepa, ila jitihada zake hazikwenda bure kuna askari alimuelewa akaoana nae na sasa wana mtoto moja.
Hadithi za kusadikika.
 
Ndio maana mie napenda wazee wenzangu, mambo yanakuwa sio mengi.
Hivi vibinti mshakubariana muonane saa 2 usiku, utasikia oohh, baba kaja,sasakwani mie namkaza baba yako, nakutakq wewe shubamiti mie ya baba yako hayanihusu, mbona nikikuletea abaya huniambii baba yupo.😂🤣
 
Hiyo inasabibishwa na vitu vingi, kimoja wapo ni Sexual drive.

Kwa wanawake hamu ya ngono(sexual libido) inaongezeka wanapo-approach menopause.
Ina Peak around 40.

(Kwa wanaume libido inakuwa kubwa 20s mpaka 30 huko.)

Ndio sababu wadada wenye miaka around 20 wanaringa sana.
Ila wenzao wa 30 nakuendelea hawana hizo.


Hii ni kwa mjibu wa Tafiti.
Shida ni kwamba umri huo sawa anafikia peak lakini nyama ya chini ishakuwa tambara bovu lambo, umbo lishapeperuka, na kama alikuwa anatumia mkorogo unakutana na rangi zaidi ya moja usoni bado michirizi minyama uzembe aargh wapambane na vibenten wanaobalehe maana wanakuwaga moto hata mgomba wanapita nao
 
Back
Top Bottom