Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Wanaume wa 30-40 nao wana ringa ringaa hawajui wakivuka 45 nao hawana market
Mwanaume.........? Value ya wanaume haijawahi shuka na kama akiwa mchakalikaji ndio kabisa,mimi kuna wazee na wajua 60+ still wanagonga ngozi laini na mbichi.

Mdaa huu kama upo karibu ya TV kuna kipindi Nat - Geo,mabibi 50+ wenye hela zao jinsi wanavyopigwa na kudanganywa kupitia hizi dating applications ,wote wanalalamika upweke.
 
Aiseeee
 
Kama vipi babaye amlete! Ebooo, usumbufu tu πŸ˜‚
 
Jomba ukikataliwa na demu usikasirike. Ni wajibu wake kukataa hadi ndoa. Akisema akubali kila mtu si ndo tutamwita malaya? Halafu unawezaje kuwa na kisasi kwa miaka mingi kisa papuchi? Wewe utakuwa maskini kifikra hadi mali.

Wanawake na nyie ukimpata mtu mnapendana usimwache aende kizembe. Utakuta kujuta baadae. Hakuna ligi ya mwanamke na mwanaume halafu mshindi akawa mwanamke. Sisi hatuzeeki. Hata tukiwa na 47years bado ni vijana. Kwa mfano mimi ni kijana mdogo wa miaka 37 na mwanachama wa CCM. Ndo ninatarajia kuoa binti wa miaka 25 yaani kitu laini.
 
Nina class mate wangu wa form 5 hadi tunamaliza wote degree alinipa nyodo sana maana kwakweli alikuwa mzuri na alijua hilo
Ila mkuu na wewe unafeli sana. Sasa wewe umeshasema demu alikua mzuri. Kipindi icho mko form 5 mpaka degree wewe mia huna, future huna, ukute ata muonekano nao huna!.Wakati huo mwenzio alikua anatongozwa na malekchara, maprofesa, wakurugenzi, wakuu wa wilaya, wabunge, madiwani, makatibu wakuu nk... kweli ulitegemea akukubali wewe kapuku kajamba nani unanuka jasho? Hata ungekua wewe ndio yeye ungekubali?
Cha maana na wewe sasa unatakiwa kama umeshapata hela unarudi kutafuna vitoto vya degree kule ambako ulikataliwa hawa wazee usihangaike nao tena.
 
It's life circle, nothing unique,
Binti kwenye 20s, lazima aringe maaana, hiyo ni prime age! Asiporinga umri huo ataringia kaburini?
Hata kwenye nyanja zingine ni hivyo hivyo, nilipokuwa bado shababy at 26,sikuona hatari kuacha kazi kampuni moja na kwenda nyingine, boss akizingua, Sina girl friend, Sina mtoto, Sina mtegemezi, kuchomoka kampuni moja kwenda nyingine sikuona hatari.,
 
Kwa hiyo ulitaka akukubali bila kuchuja vigezo vyake,hii sio sawa wanaume wenzangu hawa wanawake nao ni binadamu wenye utashi kama tulivyo wanaume wana uhuru wa kuchagua jema na baya(wana uhuru wa kupanga future yao iweje),pia kuoa na kuolewa sio amri ya lazima.
 
Kuna vibibi vimeona serikali zote za Tanzania, unakuta ibibi Cha 1995 kurudi nyuma nacho kinaringa wakati ni bonge la skrepa na matetenasi juu.


Wanaume Kwa Sasa tunang'oa toleo la JK. Mlizaliwa enzi la ruksa ni Wala mafao nyie na uzeeeeeeeee. Papuschu tepetepe kama tope la mgodini
 
Uko Sahihi sana Mkuu shida ya hawa viumbe ni Comeback ya Kinyonge sana baada ya Kutumika sana Sasa huwa wanalejea ili waweze kuolewa Mana hao ma DC, Wakurugenzi ma lectures hawawezi kuwapa ndoa, Sasa akirudi mimi jambo ni Moja tu, Revenge ili arudi kuendelea Kusafa kama ana mentality za ndoa ndio kila kitu basi huwa wanaumia sana
 
[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…