Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Hususani weupe au wenye matako makubwa huwa wanadhani kwamba wao ndiyo kila kitu katika hii dunia.

Wakifikisha 30+ Wanaishia kuwa bar maids. Wakifikisha 40+ wanageuka wauza mahindi ya kuchoma kando ya barabara. Walifikia 50+ wanakuwa wamepigika to the fucking extent, wanageuka mashemasi na wafanya usafi kwenye haya makanisa ya manabii wa uongo
Eeee, haya bhana....ngoja nipunguze mapozi maana
 
Wanaume wa 30-40 nao wana ringa ringaa hawajui wakivuka 45 nao hawana market
Hahahaha, eti hawana market...wazeee wa kimoja Chali,hapa wapi bize kukomaza.shingo utafikiri wao hawatafika iyo 30 and above
 
Na wakizipata ndoa wanaziheshimu tofaut na wale waliowahi kuolewa wao uona umuhimu wa ndoa baada ya kuachika
Well said, ndoa nyingi zenye utata ni za vibint vya 20 ' s up to 26 hapo....vinaolewa coz rafiki zake wanaolewa,akishaingia ndani hajui majukumu yake kama mke, mke wa mtu club zote yupo, kitchen party zote mjini yupo,baikoko yupooo, magrup ya watsaap p tisa, sijui ma x Kama wote, hiyo ni ndoa au ndoano
 
Nimeshajionea mara kadhaa hasa hizi pisi za chini ya miaka 26 huwa wanajiona dunia ni yao na wa kupanga vigezo ni wao.

Kuwa approach mabinti wa umri huu wengi mkizinguana kidogo tu hawaoni shida ku break up, usipokuwa na gari ama vimali ni ngumu kumpata, n.k.

wafika 30 sasa ndio utaanza kuona vimbweka, ni muda ambao hata chai ya kwenye friji inalainisha andazi.

wao ndio huanza kujilengesha hapa na sio siri kwa wanaume wanaowajua wanachopitia huwageuza sehemu ya kuahidi ndoa, wakichapa wanasepa wanaenda kwa wengine.

Nina class mate wangu wa form 5 hadi tunamaliza wote degree alinipa nyodo sana maana kwakweli alikuwa mzuri na alijua hilo akaona sina nafasi kwake kwa hali yangu kiuchumi kwa enzi zile, niliwahi kutupa ndoano ila niliishia kula nyundo za mbavu. Ajabu ni kwamba baada ya miaka kadhaa kuna siku nipo whatsapp nakutana na mesej yake kunijulia hali ilinishangaza, nilishajua namna ya kuucheza mchezo nilijifanya mjinga nicheze kama alivyodhania, kimasihara kabisa kwa gharama ndogo sana nilimla na nikampiga nikampa makavu kwamba mimi nilikuwa namtamani tu, nyodo zake za zamani ndio zilinipa moto wa kumsasambua, ndoa niliyomwambia nilimpiga a,e,i,o,u nikatokomea.


Kiufupi nilipata habari baada yangu ndani ya miaka miwili hivi kuna wadau wengine wawili nawajua waliweza kupata joto na kusepa, ila jitihada zake hazikwenda bure kuna askari alimuelewa akaoana nae na sasa wana mtoto moja.
Inaonekana bado unamaind bro mpaka wa leo bado unamhadithia tu
Ni mwili wake na alikuwa na haki ya kuchagua akitakacho
Bahati nzuri nawe umepewa zigo umekula
Usimsimulie sana ni mwanadamu tu na anachangamoto zake
 
Jomba ukikataliwa na demu usikasirike. Ni wajibu wake kukataa hadi ndoa. Akisema akubali kila mtu si ndo tutamwita malaya? Halafu unawezaje kuwa na kisasi kwa miaka mingi kisa papuchi? Wewe utakuwa maskini kifikra hadi mali.

Wanawake na nyie ukimpata mtu mnapendana usimwache aende kizembe. Utakuta kujuta baadae. Hakuna ligi ya mwanamke na mwanaume halafu mshindi akawa mwanamke. Sisi hatuzeeki. Hata tukiwa na 47years bado ni vijana. Kwa mfano mimi ni kijana mdogo wa miaka 37 na mwanachama wa CCM. Ndo ninatarajia kuoa binti wa miaka 25 yaani kitu laini.
Umeniacha hoi kijana mdogo wa CCM....kitu laini kabisa unaingiza ndani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Una mapafu ya kuhudumia kitu laini my dear
 
Ila mkuu na wewe unafeli sana. Sasa wewe umeshasema demu alikua mzuri. Kipindi icho mko form 5 mpaka degree wewe mia huna, future huna, ukute ata muonekano nao huna!.Wakati huo mwenzio alikua anatongozwa na malekchara, maprofesa, wakurugenzi, wakuu wa wilaya, wabunge, madiwani, makatibu wakuu nk... kweli ulitegemea akukubali wewe kapuku kajamba nani unanuka jasho? Hata ungekua wewe ndio yeye ungekubali?
Cha maana na wewe sasa unatakiwa kama umeshapata hela unarudi kutafuna vitoto vya degree kule ambako ulikataliwa hawa wazee usihangaike nao tena.
Hatareeee, na sie ndio tunaponea kwa cocomelon[emoji259]
 
Kwa hiyo ulitaka akukubali bila kuchuja vigezo vyake,hii sio sawa wanaume wenzangu hawa wanawake nao ni binadamu wenye utashi kama tulivyo wanaume wana uhuru wa kuchagua jema na baya(wana uhuru wa kupanga future yao iweje),pia kuoa na kuolewa sio amri ya lazima.
Well said...
 
Kuna vibibi vimeona serikali zote za Tanzania, unakuta ibibi Cha 1995 kurudi nyuma nacho kinaringa wakati ni bonge la skrepa na matetenasi juu.


Wanaume Kwa Sasa tunang'oa toleo la JK. Mlizaliwa enzi la ruksa ni Wala mafao nyie na uzeeeeeeeee. Papuschu tepetepe kama tope la mgodini
Sio kweli ,Kuna wanawake wa late 80' s ni visu kuliko hao wa enzi ya kikwete my dear, mwanamke matunzo tuuuu na kujitambua
 
Mada za kitoto tu.

Wanawake nao ni binadamu na wana uhuru kamili juu ya maisha yao. Mwanamke anayejitambua hatakubali kila mwanaume hata akivuka 30s. Tuwaache waishi maisha yao!
Barikiwa sana,halafu ndoa sio kila kitu jamani dooooh ingawa ikiwepo inaongeza namna,nafahamu wake za watu ambao wanajiuza na hawana habari, sijawahi tamani ndoa kwa kiwango cha kujidharau kua kwanini sijaolewa, tena naonaga am so happy kuliko baadhi ya waliolewa aseee[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ila sio siri huwa wanatia huruma sana akikuona una mwelekeo yaani anajitahidi kukuonyesha upendo, asikukwaze na anakupea yote usimkimbie

Mimi naamini wengi wanaowaoa hawa wa 30+ pamoja na wale wa 30+ singo maza huwa wanawaoa kwa kuwaonea huruma

Kama ulimuahidi ndoa halafu ukamuacha huwa inauma sana ukiona jinsi alijitoa kwako
 
Usitutishe bana weeeeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na sie tutafuta wa pesa zetu
Bora wewe mwenzetu Kuna mwamba kakuelewa humu kasema hata ukifika 40 thamani yako ipo palepale [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bora wewe mwenzetu Kuna mwamba kakuelewa humu kasema hata ukifika 40 thamani yako ipo palepale [emoji28][emoji28][emoji28]

Nani tena huyo shogare [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maana wanaoropoka wapo wengi humu!!!
 
Umri wa kuoa uongezeke under 30 bado utoto mwingi Hawa wanataka harusi na Sio ndoa.
Wanaolewa kwa kufuata mkurupuko wa mkumbo wa rafiki Yao kaolewa nao ukimbilia ndoa
 
Back
Top Bottom