makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Unapiga kwa mguu makunduchi mpaka unatokea JAMBIANI 😂Na badala uelekee Paje unapitilizia Kijini karibu na makunduchi. 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapiga kwa mguu makunduchi mpaka unatokea JAMBIANI 😂Na badala uelekee Paje unapitilizia Kijini karibu na makunduchi. 😂
Eeee, haya bhana....ngoja nipunguze mapozi maanaHususani weupe au wenye matako makubwa huwa wanadhani kwamba wao ndiyo kila kitu katika hii dunia.
Wakifikisha 30+ Wanaishia kuwa bar maids. Wakifikisha 40+ wanageuka wauza mahindi ya kuchoma kando ya barabara. Walifikia 50+ wanakuwa wamepigika to the fucking extent, wanageuka mashemasi na wafanya usafi kwenye haya makanisa ya manabii wa uongo
Hahahaha, eti hawana market...wazeee wa kimoja Chali,hapa wapi bize kukomaza.shingo utafikiri wao hawatafika iyo 30 and aboveWanaume wa 30-40 nao wana ringa ringaa hawajui wakivuka 45 nao hawana market
Well said, ndoa nyingi zenye utata ni za vibint vya 20 ' s up to 26 hapo....vinaolewa coz rafiki zake wanaolewa,akishaingia ndani hajui majukumu yake kama mke, mke wa mtu club zote yupo, kitchen party zote mjini yupo,baikoko yupooo, magrup ya watsaap p tisa, sijui ma x Kama wote, hiyo ni ndoa au ndoanoNa wakizipata ndoa wanaziheshimu tofaut na wale waliowahi kuolewa wao uona umuhimu wa ndoa baada ya kuachika
Inaonekana bado unamaind bro mpaka wa leo bado unamhadithia tuNimeshajionea mara kadhaa hasa hizi pisi za chini ya miaka 26 huwa wanajiona dunia ni yao na wa kupanga vigezo ni wao.
Kuwa approach mabinti wa umri huu wengi mkizinguana kidogo tu hawaoni shida ku break up, usipokuwa na gari ama vimali ni ngumu kumpata, n.k.
wafika 30 sasa ndio utaanza kuona vimbweka, ni muda ambao hata chai ya kwenye friji inalainisha andazi.
wao ndio huanza kujilengesha hapa na sio siri kwa wanaume wanaowajua wanachopitia huwageuza sehemu ya kuahidi ndoa, wakichapa wanasepa wanaenda kwa wengine.
Nina class mate wangu wa form 5 hadi tunamaliza wote degree alinipa nyodo sana maana kwakweli alikuwa mzuri na alijua hilo akaona sina nafasi kwake kwa hali yangu kiuchumi kwa enzi zile, niliwahi kutupa ndoano ila niliishia kula nyundo za mbavu. Ajabu ni kwamba baada ya miaka kadhaa kuna siku nipo whatsapp nakutana na mesej yake kunijulia hali ilinishangaza, nilishajua namna ya kuucheza mchezo nilijifanya mjinga nicheze kama alivyodhania, kimasihara kabisa kwa gharama ndogo sana nilimla na nikampiga nikampa makavu kwamba mimi nilikuwa namtamani tu, nyodo zake za zamani ndio zilinipa moto wa kumsasambua, ndoa niliyomwambia nilimpiga a,e,i,o,u nikatokomea.
Kiufupi nilipata habari baada yangu ndani ya miaka miwili hivi kuna wadau wengine wawili nawajua waliweza kupata joto na kusepa, ila jitihada zake hazikwenda bure kuna askari alimuelewa akaoana nae na sasa wana mtoto moja.
Hongera umejitunza,Kuna vijana Wana 36 wanapumulia mashine,wako bize kumjadili single mom na wadada wa above 30 ambao hawajaolewa wkt hata ndoa hana ilimshinda maana shughuli hamnaSikweli,Mimi nna 45 na nipo vizuri Sana, mwanaume hazeeki
Umeniacha hoi kijana mdogo wa CCM....kitu laini kabisa unaingiza ndani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Jomba ukikataliwa na demu usikasirike. Ni wajibu wake kukataa hadi ndoa. Akisema akubali kila mtu si ndo tutamwita malaya? Halafu unawezaje kuwa na kisasi kwa miaka mingi kisa papuchi? Wewe utakuwa maskini kifikra hadi mali.
Wanawake na nyie ukimpata mtu mnapendana usimwache aende kizembe. Utakuta kujuta baadae. Hakuna ligi ya mwanamke na mwanaume halafu mshindi akawa mwanamke. Sisi hatuzeeki. Hata tukiwa na 47years bado ni vijana. Kwa mfano mimi ni kijana mdogo wa miaka 37 na mwanachama wa CCM. Ndo ninatarajia kuoa binti wa miaka 25 yaani kitu laini.
Hatareeee, na sie ndio tunaponea kwa cocomelon[emoji259]Ila mkuu na wewe unafeli sana. Sasa wewe umeshasema demu alikua mzuri. Kipindi icho mko form 5 mpaka degree wewe mia huna, future huna, ukute ata muonekano nao huna!.Wakati huo mwenzio alikua anatongozwa na malekchara, maprofesa, wakurugenzi, wakuu wa wilaya, wabunge, madiwani, makatibu wakuu nk... kweli ulitegemea akukubali wewe kapuku kajamba nani unanuka jasho? Hata ungekua wewe ndio yeye ungekubali?
Cha maana na wewe sasa unatakiwa kama umeshapata hela unarudi kutafuna vitoto vya degree kule ambako ulikataliwa hawa wazee usihangaike nao tena.
😅😅😅😅Eeee, haya bhana....ngoja nipunguze mapozi maana
Well said...Kwa hiyo ulitaka akukubali bila kuchuja vigezo vyake,hii sio sawa wanaume wenzangu hawa wanawake nao ni binadamu wenye utashi kama tulivyo wanaume wana uhuru wa kuchagua jema na baya(wana uhuru wa kupanga future yao iweje),pia kuoa na kuolewa sio amri ya lazima.
Ngoja nipambane kuzitafuta,wazee wenzangu tutafute pesa....ndoa zishatukosa tuliringa sana at 20 's[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wanasema mwanamke ukitaka upendwe hata ukiwa umri umeenda uwe na hela.
NAKAZIAwenye miaka 20-25 ndo mnato, watamu kishenzi, tatizo lao ni hilo tu, visumbufu, utoto mwingi sana
Sio kweli ,Kuna wanawake wa late 80' s ni visu kuliko hao wa enzi ya kikwete my dear, mwanamke matunzo tuuuu na kujitambuaKuna vibibi vimeona serikali zote za Tanzania, unakuta ibibi Cha 1995 kurudi nyuma nacho kinaringa wakati ni bonge la skrepa na matetenasi juu.
Wanaume Kwa Sasa tunang'oa toleo la JK. Mlizaliwa enzi la ruksa ni Wala mafao nyie na uzeeeeeeeee. Papuschu tepetepe kama tope la mgodini
Barikiwa sana,halafu ndoa sio kila kitu jamani dooooh ingawa ikiwepo inaongeza namna,nafahamu wake za watu ambao wanajiuza na hawana habari, sijawahi tamani ndoa kwa kiwango cha kujidharau kua kwanini sijaolewa, tena naonaga am so happy kuliko baadhi ya waliolewa aseee[emoji28][emoji28][emoji28]Mada za kitoto tu.
Wanawake nao ni binadamu na wana uhuru kamili juu ya maisha yao. Mwanamke anayejitambua hatakubali kila mwanaume hata akivuka 30s. Tuwaache waishi maisha yao!
Bora wewe mwenzetu Kuna mwamba kakuelewa humu kasema hata ukifika 40 thamani yako ipo palepale [emoji28][emoji28][emoji28]Usitutishe bana weeeeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na sie tutafuta wa pesa zetu
Bora wewe mwenzetu Kuna mwamba kakuelewa humu kasema hata ukifika 40 thamani yako ipo palepale [emoji28][emoji28][emoji28]
Mmh,80yrs!!Sio kweli ,Kuna wanawake wa late 80' s ni visu kuliko hao wa enzi ya kikwete my dear, mwanamke matunzo tuuuu na kujitambua