Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Eeee, haya bhana....ngoja nipunguze mapozi maana
 
Wanaume wa 30-40 nao wana ringa ringaa hawajui wakivuka 45 nao hawana market
Hahahaha, eti hawana market...wazeee wa kimoja Chali,hapa wapi bize kukomaza.shingo utafikiri wao hawatafika iyo 30 and above
 
Na wakizipata ndoa wanaziheshimu tofaut na wale waliowahi kuolewa wao uona umuhimu wa ndoa baada ya kuachika
Well said, ndoa nyingi zenye utata ni za vibint vya 20 ' s up to 26 hapo....vinaolewa coz rafiki zake wanaolewa,akishaingia ndani hajui majukumu yake kama mke, mke wa mtu club zote yupo, kitchen party zote mjini yupo,baikoko yupooo, magrup ya watsaap p tisa, sijui ma x Kama wote, hiyo ni ndoa au ndoano
 
Inaonekana bado unamaind bro mpaka wa leo bado unamhadithia tu
Ni mwili wake na alikuwa na haki ya kuchagua akitakacho
Bahati nzuri nawe umepewa zigo umekula
Usimsimulie sana ni mwanadamu tu na anachangamoto zake
 
Umeniacha hoi kijana mdogo wa CCM....kitu laini kabisa unaingiza ndani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Una mapafu ya kuhudumia kitu laini my dear
 
Hatareeee, na sie ndio tunaponea kwa cocomelon[emoji259]
 
Well said...
 
Sio kweli ,Kuna wanawake wa late 80' s ni visu kuliko hao wa enzi ya kikwete my dear, mwanamke matunzo tuuuu na kujitambua
 
Mada za kitoto tu.

Wanawake nao ni binadamu na wana uhuru kamili juu ya maisha yao. Mwanamke anayejitambua hatakubali kila mwanaume hata akivuka 30s. Tuwaache waishi maisha yao!
Barikiwa sana,halafu ndoa sio kila kitu jamani dooooh ingawa ikiwepo inaongeza namna,nafahamu wake za watu ambao wanajiuza na hawana habari, sijawahi tamani ndoa kwa kiwango cha kujidharau kua kwanini sijaolewa, tena naonaga am so happy kuliko baadhi ya waliolewa aseee[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ila sio siri huwa wanatia huruma sana akikuona una mwelekeo yaani anajitahidi kukuonyesha upendo, asikukwaze na anakupea yote usimkimbie

Mimi naamini wengi wanaowaoa hawa wa 30+ pamoja na wale wa 30+ singo maza huwa wanawaoa kwa kuwaonea huruma

Kama ulimuahidi ndoa halafu ukamuacha huwa inauma sana ukiona jinsi alijitoa kwako
 
Usitutishe bana weeeeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na sie tutafuta wa pesa zetu
Bora wewe mwenzetu Kuna mwamba kakuelewa humu kasema hata ukifika 40 thamani yako ipo palepale [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bora wewe mwenzetu Kuna mwamba kakuelewa humu kasema hata ukifika 40 thamani yako ipo palepale [emoji28][emoji28][emoji28]

Nani tena huyo shogare [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maana wanaoropoka wapo wengi humu!!!
 
Umri wa kuoa uongezeke under 30 bado utoto mwingi Hawa wanataka harusi na Sio ndoa.
Wanaolewa kwa kufuata mkurupuko wa mkumbo wa rafiki Yao kaolewa nao ukimbilia ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…