Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

...kipindi cha uchumba cha mwaka mmoja na miezi mitatu alikuwa hana kabisa huo mchezo, ila miezi hii minne kiu yake ya huko uwani imekuwa kubwa na kunisababishia kero.
Kosa ni lake maana kakuuzia mbuzi kwenye junia!
Kipindi cha uchumba alipaswa kukufahamisha kuwa hayo ndo mambo yake then uchague kusuka au kunyoa
 
Samahani sana nikisema kuwa umeandika chumvi nyingi, uongo na uzayuni

Kuna mambo ya kujadili jukwaani na kuna mambo ya kifamilia. Kwani hauna mshenga? Hauna wasimamizi wa ndoa? Hauna wazazi wa pande mbili?

Ulipaswa kukua kwanza kabla ya ndoa
Mkuu humu kuna watu wengi zaidi ya mshenga na mdhamini,pia aibu ya mke inatakiwa ilindwe kwanza,mimi naona jamaa yupo sawa kuleta humu kwakua hatutambuani,na kuna watu wa aina zote.kama una ushauri mpe tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha Ujinga Kuna jambo la kupeleka Kwa mshenga hapo? Unadhani likifika Kwa mshenga Hilo si talaka tayari hapo
 
Mkuu humu kuna watu wengi zaidi ya mshenga na mdhamini,pia aibu ya mke inatakiwa ilindwe kwanza,mimi naona jamaa yupo sawa kuleta humu kwakua hatutambuani,na kuna watu wa aina zote.kama una ushauri mpe tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu
Ukinisoma kwa makini nilianza na samahani.

Kuna wengi wanaleta mada zao zinaonekana nzito na ukijitosa kuwasaidia unakuja kugundua walikuwa wanachangamsha genge.

Hoja za usodomy kwenye ndoa ni mambo ya kifamilia na kiimani. Unadhani humu ni sahihi kupost kila kitu? Tuwe na staha, breki na utimamu....
 
Samahani sana nikisema kuwa umeandika chumvi nyingi, uongo na uzayuni

Kuna mambo ya kujadili jukwaani na kuna mambo ya kifamilia. Kwani hauna mshenga? Hauna wasimamizi wa ndoa? Hauna wazazi wa pande mbili?

Ulipaswa kukua kwanza kabla ya ndoa
Nimefupisha tu bro. Nimesha kaa naye, mimi na mshenga, pia wasimamizi wa ndoa yetu. Kwenye vikao anasema yeye hana mchezo huo ila tatizo liko kwangu ninakojoa haraka na nikikojoa haisimami tena kitu ambacho si kweli.

Na tukirudi nyumbani unawaka ugomvi mkubwa kwamba ninamdhalilisha
 
Machoko a.k.a mashoga mmeanza tena zile stori zenu za kupromoti uchafu?

Nani anawalipa kuja na habari za uongo kuchafua jamii?
 
Nimesoma kichwa cha habari na nime comment
Mpatie talaka haraka sana
 
Basi mle Kama hutaki mwacheeeeee!
 
Naam
Basi unapopeleka jambo zito kwenye jamii kupata ushauri unapaswa kuweka bayana vitu kama hivi.

Hata mahakamani ukijifabya kuficha baadhi ya taarifa ukategemea kuongelea hisia zako utajikuta hauaminiki.

Hiyo kesi ni kupeleka Ustawi wa Jamii na kama kuna ushahidi basi ndoa haipo hapo
 
Kupima bikira ya nyuma mimi sijui, na kipindi chote cha uchumba hakuwahi kuomba huo mchezo, na pia mimi mwenyewe sio mtu wa kujarijaribu wanawake kwa mitego.

Nina jamaa yangu alimtest mchumba wake kwamba naomba nyuma, mchumba akakubali kwa shingo upande akasema ingiza kichwa tu..... jamaa mapenzi yakafa siku hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…