Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Yaani kama kwenye kitabu hiki ndio amefafanua vizuri kabisa kwenye tafsiri halisi, kwamba homosexuals hawataurithi ufalme wa Mungu.
2. 1 Corinthians 6:9 - 11, Do you not know that the unrighteous will not inherit the Kingdom of God? Do not be deceived. Neither fornicators, nor idolaters, nor adulterers, nor homosexuals, nor sodomites, nor thieves, nor cavetous, nor drunkards, nor revilers, nor extortioners will inherit the Kingdom of God. And such were some of you, but you were washed, but you were sanctified, but you were justified in the Name of the Lord Jesus and by the Spirit of our God.
SWAHILI: 2WAKORINTHI 6:9-11 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi Ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika Jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.