Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile, ni dhambi, wanaume pia wanaowaingilia na hata wale wanaoingiliwa, ni dhambi. Biblia imekataza na wote hao hawatauridhi uzima wa milele.
1. Warumi 1:26 - 27, For this reason God gave them up to vile passions. for even their women exchanged the natural use for what is against nature. likewise also the men leaving the natural use of the woman, burned in their lust for one another, men with men committing what is shameful, and receiving in themselves the penalty of their error. SWAHILI: WARUMI 1:26-27, 26 Kwa hiyo, Mungu aliwaachia wafuate tamaa zao za aibu. Hata wanawake wao waliacha matumizi ya asili ya maumbile yao wakatumia miili yao isivyokusudiwa. 27 Hali kadhalika wanaume waliacha uhusiano wa asili kati ya waume na wake wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume walifanyiana mambo ya aibu, nao waka pata katika miili yao adhabu waliyostahili kama matokeo ya uovu wao.
2. 1 Corinthians 6:9 - 11, Do you not know that the unrighteous will not inherit the Kingdom of God? Do not be deceived. Neither fornicators, nor idolaters, nor adulterers, nor homosexuals, nor sodomites, nor thieves, nor cavetous, nor drunkards, nor revilers, nor extortioners will inherit the Kingdom of God. And such were some of you, but you were washed, but you were sanctified, but you were justified in the Name of the Lord Jesus and by the Spirit of our God. SWAHILI: 2WAKORINTHI 6:9-11 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi Ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika Jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.
CONCLUSION: sitaki kuandika mengi, ila napenda kuwafikishia ujumbe kwamba, ninyi wanawake mnaofirwa, na ninyi wanaume mnaofira na ninyi wanaume mnaolawitiwa (mashoga), Neno la Mungu linasema msidanganyike, hamtaurithi ufalme wa Mungu. labda kama mkibadili njia zenu, kwa kutubu kumaanisha kuacha dhambi, na kuzigeukia njia za Bwana. Mungu kasema kabisa msidanganyike, ukifa na dhambi hiyo bila kutubu na kuiacha, hautaurithi Ufalme wa Mungu. Mungu awabariki.