Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Mmeleta kahawa sasa 🤓
 
Mkuu humu kuna watu wengi zaidi ya mshenga na mdhamini,pia aibu ya mke inatakiwa ilindwe kwanza,mimi naona jamaa yupo sawa kuleta humu kwakua hatutambuani,na kuna watu wa aina zote.kama una ushauri mpe tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dhambi kubwa kuweka aibu za mwenzio hadharani ,,,suluhisho inatafutwa ndani sio nje ya ndoa..
 
Pambana tu mzee Yana solvika tu hayo utaacha wangapi sasa?
 
Kwa hiyo unatushtakia au unatupa taarifa??
 
Hukwo nyuma sio kizuri my friend kuna UTI sugu .vimelea vya UTI vinaishi Hukwo
 
Inauma sana iwe isiwe kuna wajuba walifokoa na bado wanAfokoa mtaro dah[emoji848]
 
Samahani sana nikisema kuwa umeandika chumvi nyingi, uongo na uzayuni

Kuna mambo ya kujadili jukwaani na kuna mambo ya kifamilia. Kwani hauna mshenga? Hauna wasimamizi wa ndoa? Hauna wazazi wa pande mbili?

Ulipaswa kukua kwanza kabla ya ndoa
Suala la aibu kama hili utaenda kumueleza mzazi au mshenga? Kama wameshindwama kila mtu ajue lake tu.
 
Dah unabahati kweli wewe, ukimuacha hachukuwi wiki ataolewa upyaaa!
 
Ingia memorandum of understanding na mzabzab, akusaidie hilo jukumu linalokushinda
 
We fanya hivi we ishi nae alafu nipe namba zake za simu ili nimkataze nakuahid hata kusumbua tena nina uzoefu wa kuwakataza kuna jamaa mke wake alikua anamsumbua hivyo hivyo Ila alivyonipa namba zake jamaa ananishukuru anasema sijui nimemfanya nini mke wake sahiv anaridhika kabisa hata asimpomgegeda wiki
 
Shida ya mwenzako ni utani wa kufurahisha sana. Subiri yakukute. Kila mtu ana aina yake ya jaribu
 
Mtaliki tu kaka , kuna vitu si vya kuvumilia ,kama mtu anakulazimisha mchezo huo na katamka yupo tayari muachae maana yake ni kwamba usipotimiza haja yake hiyo akiwa ndani ya ndoa basi ataitafuta nje ya ndoa na hii inamaanisha huko mbeleni atakunyima unyumba maana atakuwa anapata anachokitaka nje huko wewe utabaki kama mwanasesere.
Maisha ni uamuzi kuna muda tunapaswa kuwapoteza tuliowapenda ili tuwe bora katika maisha ya mbele kijamii na kiimani hivyo Mungu hufungua njia mpya kwa wale wamchao na kuepuka uovu.Utamwacha huyo utapata a real woman mwenye sifa kuliko za huyo na mtasonga na maisha safi kabisa.



Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…