Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Ungeanza na wanaume mwenzio.
Waambie waache kuwafanyia wanawake hivyo. Mnawafukua mkitegemea nani awaoe? Mtawaoa hao hao mnao waharibu. Inawarudia wenyewe
 
Ungeanza na wanaume mwenzio.
Waambie waache kuwafanyia wanawake hivyo. Mnawafukua mkitegemea nani awaoe? Mtawaoa hao hao mnao waharibu. Inawarudia wenyewe
Inafikirisha....

Mfano mke aliyeoa fulani ana historia ya hayo matukio.....

Yuko naye ndani ya ndoa.....mume si muumini wa "ubazazi"....unadhani akikutana na michepuko "mabazazi" wenzake atayaacha hayo mambo?!!!

Haya mambo haya yanasikitisha sana.....
 
Ndo muanze kubadilika.
Tatizo wanaume mnategemea mwanamke ajitunze kwaajili yenu, lakini mnapokuwa nao mnawaharibu mkidhani madhara hayatawarudia.
 
Ndo muanze kubadilika.
Tatizo wanaume mnategemea mwanamke ajitunze kwaajili yenu, lakini mnapokuwa nao mnawaharibu mkidhani madhara hayatawarudia.
mi naona wanaopenda hizo mambo waachwe tu.... hatuwezi kuwa-control kwasababu wanafanya kwa siri, ukigundua mwenza wako anapenda na we hutaki, achana nae....
 
Mbona umetoa maoni Kwa uchungu sana
 
Mabadiliko makubwa sana ya tabia.....

Inafikia mahali mpaka unaogopa kwa wake zetu tuliowaoa......hivi wanapochepuka na vijana wenye tabia hizo wanawaacha "huko" kweli ?!!!

Hatari
Sidhani kama watathamini utu wake kama wewe mumeo
 
Mkiacha kupiga picha mmegeuka tutaacha kushawishika maana bidhaa ili ifanye vizuri sokoni ni lazima itangazwe isipotangazwa hakuna atakeiulizia
Kwamba nyash zao ndo zinasababisha? Ila nadhan ni tabia tu ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…