Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

naye anasisitiza kama sitaki basi nimwache huru atafute atakayewezana naye.

Ndio hivyo tena hawezi kuacha kashaonjeshwa anapenda hayo.. fumba macho aende aendelee anakoenda kupewa Raha ndoa make kwa Amani ufaidi hizi sifa zake.. anza kutumia condom au mkapike ujijue mapema upoje.. ujijali.. inaonekana umemoendea hizi sifa umeweka
 
Daah
Naona kila kukicha watu wanahamasisha kulawitiana kwa negative approach.

Rudini kwenye jando na unyago kwa kuyafundisha yale yasiyotweza utu na haki za binadamu.

Wanaolalamika leo ndiyo walikiwa majemedari kukampenia upigwaji marufuku jando na unyago wakisema ni udhalilishaji na utwezaji. Kumbe yalikuwepo mafunzo ya kulinda maadili na tungeweza kuchambua mazuri ya kuendeleza na mabaya ya kuachana nayo.

Hii ngoma ndo kwaaanza ahsubuhi, hadi kufika jioni sijui nani atabaki salama
 
Hiyo bahati ya mtende imeangukia kwenye mwembe aisee,daah!.Mi mawivu yamenijaaa!.
 
Usimpe talaka. Msaidie kwa kuongea nae madhara na akapigwe Bomba hospital. Unaweza kumuacha ukampata Malaya na mchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…