Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Heshima kwenu wakuu.

Waafrika baadhi yetu tume kuwa wanafki sana hasa katika suala la MAPENZI YA JINSIA MOJA, Asilimia kubwa watu wanaonesha kupinga swala hilo lakini wanahalalisha kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile, kama tumeamua kupinga tupinge vyote kwa upande wa mwanaume na mwanamke.

Tuache unafki.
 
mada ya wazenji hii wajadiliane Kisha watoe suruhu.
Dini imetoa ruhusa ya wake wanne,Sasa matakoni mnakwenda kufanya Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…