Labda muweke silent na msigaregare..πSasa tufanyeje mkuu ndugu yetu?
HahahahahahaπLabda muweke silent na msigaregare..π
Embu nikuone unavyolia ledadaHahahahahahaπ
pole kwa msibaWakuu Salaam..
Kufiwa kunauma sana yataka uvumilivu...
Wanawake hawabembelezeki kwenye msiba wanapokezana kulia.
Uyu atamtaja mjomba, mwingine atamtaja shangazi,mwingine atamtaja marehemu walio tangulia.
Wanagaa gaa chini utasema wanatubu zambi zao.
Kale katabia cha alikotoka hajalia ata akiwa njiani macho makavu!!! sasa ngoja akalibie eneo la tukio,
Kilio chake hawezi hata kutembea atabebwa na watampokea kwakuongeza kilio kwa aliowakuta angalau walichoka kwakulia mda mrefu.
[emoji23][emoji23][emoji23]niumize nilie[emoji1787]Embu nikuone unavyolia ledada
Asee mie gentleman nitamuumizaje mtoto wa kike jamani!!
Ahahaha asee nilikua sijuhi hii kitu asee.Mwanamke wakibondei akilia msibani anakua anaongea hivyo kama hujui siri za marehemu utazipata kwa wanawake wakilia had siri za kitandan maana analia huku anapayuka kuongea kwa waliowah kuhudhuria misiba ya wabondei watakubali
Wakuu Salaam..
Kufiwa kunauma sana yataka uvumilivu...
Wanawake hawabembelezeki kwenye msiba wanapokezana kulia.
Uyu atamtaja mjomba, mwingine atamtaja shangazi,mwingine atamtaja marehemu walio tangulia.
Wanagaa gaa chini utasema wanatubu zambi zao.
Kale katabia cha alikotoka hajalia ata akiwa njiani macho makavu!!! sasa ngoja akalibie eneo la tukio,
Kilio chake hawezi hata kutembea atabebwa na watampokea kwakuongeza kilio kwa aliowakuta angalau walichoka kwakulia mda mrefu.
Hii dhana kama ina mashiko vile...Wengi wakisha experience kuleta kiumbe duniani huwa wanaumia sana kiumbe kikiondoka duniani kama hujawahi beba kiumbe mwilini mwako na kikiingia duniani kwa mara ya kwanza kinavyolia huwezi kuelewa utakuwa unashangaa tu hawa watu wanalia nini
Noma sana kama mwanamke alikuwa hajui michepuko ya mumewe basi akifa kama alikuwa na michepuko ya kibondei atawajua na hata pesa na zawad alizokuwa anapeleka watafahamuAhahaha asee nilikua sijuhi hii kitu asee.
Hapo Nimekuelewa kumbe vile vilio sio tu uchungu wa kupoteza ndugu bali kuna uchungu mwingine mnafikilia kwa wakati 1Wengi wakisha experience kuleta kiumbe duniani huwa wanaumia sana kiumbe kikiondoka duniani kama hujawahi beba kiumbe mwilini mwako na kikiingia duniani kwa mara ya kwanza kinavyolia huwezi kuelewa utakuwa unashangaa tu hawa watu wanalia nini
Hao wakiambiwa taarifa ya msiba wanavalia taiti kabisa maana wanajua show wanayoenda ππππUmesahau na kuzimia baadhi yao
Ila nao huwa wanazidisha sana sio kwa kulia huko na kutupa miguu kama mtoto umemnyima pipi [emoji23]
Sent from my iPhone using Tapatalk