Wanawake wanaongoza kwa kulia kwenye msiba

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
Wakuu Salaam..

Kufiwa kunauma sana yataka uvumilivu...

Wanawake hawabembelezeki kwenye msiba wanapokezana kulia.

Uyu atamtaja mjomba, mwingine atamtaja shangazi,mwingine atamtaja marehemu walio tangulia.

Wanagaa gaa chini utasema wanatubu zambi zao.

Kale katabia cha alikotoka hajalia ata akiwa njiani macho makavu!!! sasa ngoja akalibie eneo la tukio,
Kilio chake hawezi hata kutembea atabebwa na watampokea kwakuongeza kilio kwa aliowakuta angalau walichoka kwakulia mda mrefu.
 
pole kwa msiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau na kuzimia baadhi yao

Ila nao huwa wanazidisha sana sio kwa kulia huko na kutupa miguu kama mtoto umemnyima pipi [emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mwanamke wakibondei akilia msibani anakua anaongea hivyo kama hujui siri za marehemu utazipata kwa wanawake wakilia had siri za kitandan maana analia huku anapayuka kuongea kwa waliowah kuhudhuria misiba ya wabondei watakubali
 
Ahahaha asee nilikua sijuhi hii kitu asee.
 
Wakuu Salaam..

Kufiwa kunauma sana yataka uvumilivu...

Wanawake hawabembelezeki kwenye msiba wanapokezana kulia.

Uyu atamtaja mjomba, mwingine atamtaja shangazi,mwingine atamtaja marehemu walio tangulia.

Wanagaa gaa chini utasema wanatubu zambi zao.

Kale katabia cha alikotoka hajalia ata akiwa njiani macho makavu!!! sasa ngoja akalibie eneo la tukio,
Kilio chake hawezi hata kutembea atabebwa na watampokea kwakuongeza kilio kwa aliowakuta angalau walichoka kwakulia mda mrefu.

Wengi wakisha experience kuleta kiumbe duniani huwa wanaumia sana kiumbe kikiondoka duniani kama hujawahi beba kiumbe mwilini mwako na kikiingia duniani kwa mara ya kwanza kinavyolia huwezi kuelewa utakuwa unashangaa tu hawa watu wanalia nini
 
Hii dhana kama ina mashiko vile...
 
Ahahaha asee nilikua sijuhi hii kitu asee.
Noma sana kama mwanamke alikuwa hajui michepuko ya mumewe basi akifa kama alikuwa na michepuko ya kibondei atawajua na hata pesa na zawad alizokuwa anapeleka watafahamu
 
sasa ni desturi au ni mazoea?
 
Wengi wakisha experience kuleta kiumbe duniani huwa wanaumia sana kiumbe kikiondoka duniani kama hujawahi beba kiumbe mwilini mwako na kikiingia duniani kwa mara ya kwanza kinavyolia huwezi kuelewa utakuwa unashangaa tu hawa watu wanalia nini
Hapo Nimekuelewa kumbe vile vilio sio tu uchungu wa kupoteza ndugu bali kuna uchungu mwingine mnafikilia kwa wakati 1
 
Umesahau na kuzimia baadhi yao

Ila nao huwa wanazidisha sana sio kwa kulia huko na kutupa miguu kama mtoto umemnyima pipi [emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk
Hao wakiambiwa taarifa ya msiba wanavalia taiti kabisa maana wanajua show wanayoenda 😂😂😂😂
 
Wanyakyusa wakilia utaisikia "baba mwakipesile umeniacha mimi siolewi tena,we ndo ulkua unanipatia..."alf ana mnong'oneza mwanae ile mboga nyingine kafiche chini ya uvungu chumbani kwangu kabla hawajaw wengi... alf kilio chake hapo atataja yote aliyo kua anapewa na jamaa chumbani
 
Back
Top Bottom