Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,562
- 3,715
Wakuu Salaam..
Kufiwa kunauma sana yataka uvumilivu...
Wanawake hawabembelezeki kwenye msiba wanapokezana kulia.
Uyu atamtaja mjomba, mwingine atamtaja shangazi,mwingine atamtaja marehemu walio tangulia.
Wanagaa gaa chini utasema wanatubu zambi zao.
Kale katabia cha alikotoka hajalia ata akiwa njiani macho makavu!!! sasa ngoja akalibie eneo la tukio,
Kilio chake hawezi hata kutembea atabebwa na watampokea kwakuongeza kilio kwa aliowakuta angalau walichoka kwakulia mda mrefu.