Wanawake wanaonuna nuna mnawawezaje wenzangu?

Kwa uzoefu wng huyo kuna njia anaitafuta ili akutawale at last utajikuta umegombana na watu wako wote ndugu, jamaa, marafk ikbd mpk wazazi wako then unajikuta upo na yeye tu, hapo ndpo utajikuta anakupangia mpk muda wa kurud home, utaanza fanyshwa kaz za home. Huo mnuno anataka umuite umuulize ksha akwambie tatzo nn usishangae akakwambia mi spend unavyochelewa kurudi we hunipendi, au siwapend marafk zako ndo wanakupotosha nk nk vitu easy tu bt nyuma yake vimebeba mambo mengne kbs akikwambia hayo ukijchanganya ukasema umemuelewa utajrekebsha at last ataongeza mengne mpk afkie lengo bt kwa style tofauti ya kununa au nyngnezo take care narudia tena take care na pengne alishakusoma akakujua hli nalo n kosa kiufundi hutakiwa kutabirika mi mwanamke wng mambo yng meng hayajui hata ya ndugu zng hajui na staruhusu hlo.
 
Umenena
 

Lakin mkuu hata yeye mwanamke/binadamu yoyote anajua kuwa tabia za kununa nuna zinakera kwenye mahusiano na hasa ukiangalia mtu huyo kapita mahusiano meng huko nyuma anajua vitu fulani vinamkosesha furaha mpenzi wako.

Huyo Bora kuachana nae tu.
 
Usimuache, wanunaji wengi huwa na mapenzi ya kweli. Anakupenda huyo, ni kudeka tu. Tunapenda kubembelezwa muda wote, mimi nanuna nuna mpaka nanuna tena. Usiponizoea utaniacha sekunde. Nanuna tu nimezoea hivyo na hata sijishtukii, najiona niko sawa tu ☺️☺️☺️
 
After wrote this ukanuna tena back to square one 😂😂😂
 
Naomba no yko dm nkutumje ya chai kesho
 
Kwa kuwapelekea moto kisawasawa pasipo huruma.
 
Anakupenda sana huyo halafu anakudekea
 
Nenda kamnunulie mkoba hata wa 30000 kisha mpe zawadi hiyo.
 
Nakuelewa sana Boss nakuelewa mnoo... unapita mule mule kwenye akili yangu
 
Usikute ndo wewe
 
Lakin mkuu hata yeye mwanamke/binadamu yoyote anajua kuwa tabia za kununa nuna zinakera kwenye mahusiano na hasa ukiangalia mtu huyo kapita mahusiano meng huko nyuma anajua vitu fulani vinamkosesha furaha mpenzi wako.

Huyo Bora kuachana nae tu.
Ndio nilicho conclude...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…