Wanawake wanaonuna nuna mnawawezaje wenzangu?

Wanawake wanaonuna nuna mnawawezaje wenzangu?

Kuna mambo anaweza kuwa anapitia katika akili yake penda kukaa naye na kumpa MUDA

Na uangalie kitu gani kinamfanya anakuwa off moody na kitu gani kinamfanya anakuwa on moody.
 
Just ignore mnuno wake fanya nae shughuli zil anazohitaji umsaidie halafu piga kimya.
Ukianza kubembeleza ndio unajichimbia Shimo la kuwa mtumwa jumlajumla
 
Just ignore mnuno wake fanya nae shughuli zil anazohitaji umsaidie halafu piga kimya.
Ukianza kubembeleza ndio unajichimbia Shimo la kuwa mtumwa jumlajumla
Kuishi na mtu alienuna mkuu bila sababu ni ngumu sana...hata kusaidiana nae kazi inakata
 
Akinuna usihangaike nae kuwa busy na mambo yako jifanye kama huoni mwishowe atachoka na kujirudi mwenyewe
Imenitokea mara nyingi tu na ndivyo ninavyofanya +Kupeleka moto kwelikweli mbona lazima akenue meno😁😁😁😁. Siku moja nilimla denda akajikojolea balaa halafu dizaini kama sitaki kuingiza dude weeeeeehhh.
 
Back
Top Bottom