Kwani nani alieye enda mahakaman kama siyo hao covid19,hv ww mzee unajitambua kweli?Katiba ya Chadema inakataza kupeleka mambo ya chama mahakamani, hili la akina mdee kwanini lisimalizwe kichaka kama katiba yao inavyo sema?
Kama hauna cha kuandikaHalima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa.
Hawa wanaume wanaofungua mikesi kila siku na kupeleka malalamiko isiyokuwa na maana bungeni sio waathirika na hatakama halima na wenzie wakiondoka bungeni hawata teuliwa wao kwani ni wanaume.
Hawa wanaume waligombea 2020 wakashindwa na hawakufungua kesi za kupiga matokeo sasa kukomaa kuwashitaki wanawake wakiwaacha wanaume wenzao waliowapokonya kura ni jambo la kufedhehesha sana. Hivi ni kweli ndani ya Chadema hakuna wazee wakulimaliza jambo hili kiungwana?
Chama cha siasa tena chama kubwa kama CDM haiwezi kuwa kama henge la wahuni inayojiendesha bila utaratibu. Chama lazima kiwe na kanuni na kila Kiongozi wa chama na wanachama lazima wafuate kanuni hiizo. Hao wanawake 19 walikiuka utaratibu na kanuni za chama, wakatiwa adabu iweje wao waendelee kuwa wakaidi?Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa.
Hawa wanaume wanaofungua mikesi kila siku na kupeleka malalamiko isiyokuwa na maana bungeni sio waathirika na hatakama halima na wenzie wakiondoka bungeni hawata teuliwa wao kwani ni wanaume.
Hawa wanaume waligombea 2020 wakashindwa na hawakufungua kesi za kupiga matokeo sasa kukomaa kuwashitaki wanawake wakiwaacha wanaume wenzao waliowapokonya kura ni jambo la kufedhehesha sana. Hivi ni kweli ndani ya Chadema hakuna wazee wakulimaliza jambo hili kiungwana?
Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa.
Hawa wanaume wanaofungua mikesi kila siku na kupeleka malalamiko isiyokuwa na maana bungeni sio waathirika na hatakama halima na wenzie wakiondoka bungeni hawata teuliwa wao kwani ni wanaume.
Hawa wanaume waligombea 2020 wakashindwa na hawakufungua kesi za kupiga matokeo sasa kukomaa kuwashitaki wanawake wakiwaacha wanaume wenzao waliowapokonya kura ni jambo la kufedhehesha sana. Hivi ni kweli ndani ya Chadema hakuna wazee wakulimaliza jambo hili kiungwana?
Katiba ya Chadema inakataza kupeleka mambo ya chama mahakamani, hili la akina mdee kwanini lisimalizwe kichaka kama katiba yao inavyo sema?
Ni wa bunge wa viti maalum mahususi kwa wanawake, ndio maana nawatizama kama wanawake, hili la kingono ndio udhalilishaji tunao upiga vitaKwa sababu unaendekeza mfumo dume ndio maana unawaona akina Halima ni wanawake. Watu wastaarabu wanawaona kuwa ni wabunge tu. Hayo mambo ya uanamke na uanaume unaundekeza ww mpenda ngono.
Natetea katiba ya cdm sio ngano zaoHoja yako ni ipi hapa, kutetea katiba au jinsia? Au ndio yale yale ya akili ndogo kurukia mambo yaliyo nje ya uwezo wako?
Katiba si inakataza mambo ya chama kwenda mahakamani?Chama cha siasa tena chama kubwa kama CDM haiwezi kuwa kama henge la wahuni inayojiendesha bila utaratibu. Chama lazima kiwe na kanuni na kila Kiongozi wa chama na wanachama lazima wafuate kanuni hiizo. Hao wanawake 19 walikiuka utaratibu na kanuni za chama, wakatiwa adabu iweje wao waendelee kuwa wakaidi?
Huwezi kugomea hatua za kinidhamu za chama. Haiwezekani. Wacha wahangaishwe.
Naunga mkono hoja, Wanawake mashujaa hawa walio ipigania Chadema kwa machozi jasho na damu, hawawezi kunyanyaswa hivi, huku watetezi huru wa haki za binadamu tupo.Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa.
Hizo nafasi ni za wanawake hawawezi kuteua wanaume kama unavyodhani, Chadema haijawahi kuwafungulia kesi yoyote ni hao unaowatetea ndio wanaofungua kesi, hapa kunatatizo la memba kutokuwa na uelewa wa mambo anayotaka kuyazungumzia, Chadema huenda mahakamani kujibu hoja za hao 19 kibandaumiza cha CCM. JF kuna shida ya baadhi ya wanasheria kujitia utaahira na kujenga chuki za kipuuzi huku wakijiita ni wasomi!Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa.
Hawa wanaume wanaofungua mikesi kila siku na kupeleka malalamiko isiyokuwa na maana bungeni sio waathirika na hatakama halima na wenzie wakiondoka bungeni hawata teuliwa wao kwani ni wanaume.
Hawa wanaume waligombea 2020 wakashindwa na hawakufungua kesi za kupiga matokeo sasa kukomaa kuwashitaki wanawake wakiwaacha wanaume wenzao waliowapokonya kura ni jambo la kufedhehesha sana. Hivi ni kweli ndani ya Chadema hakuna wazee wakulimaliza jambo hili kiungwana?
Una akili Mgando. Nenda kawaoe ikae nao. Wamekutuma??Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa.
Hawa wanaume wanaofungua mikesi kila siku na kupeleka malalamiko isiyokuwa na maana bungeni sio waathirika na hatakama halima na wenzie wakiondoka bungeni hawata teuliwa wao kwani ni wanaume.
Hawa wanaume waligombea 2020 wakashindwa na hawakufungua kesi za kupiga matokeo sasa kukomaa kuwashitaki wanawake wakiwaacha wanaume wenzao waliowapokonya kura ni jambo la kufedhehesha sana. Hivi ni kweli ndani ya Chadema hakuna wazee wakulimaliza jambo hili kiungwana?
Unamaanisha limalizwe kichakani au sijakuelewa vizuriKatiba ya Chadema inakataza kupeleka mambo ya chama mahakamani, hili la akina mdee kwanini lisimalizwe kichaka
kama katiba yao inavyo sema?
Wajinga kama nyinyi ndy mnafanya hii nchi inazidi kuwa na wajinga kama wewe