Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa.
Hawa wanaume wanaofungua mikesi kila siku na kupeleka malalamiko isiyokuwa na maana bungeni sio waathirika na hatakama halima na wenzie wakiondoka bungeni hawata teuliwa wao kwani ni wanaume.
Hawa wanaume waligombea 2020 wakashindwa na hawakufungua kesi za kupiga matokeo sasa kukomaa kuwashitaki wanawake wakiwaacha wanaume wenzao waliowapokonya kura ni jambo la kufedhehesha sana. Hivi ni kweli ndani ya Chadema hakuna wazee wakulimaliza jambo hili kiungwana?