mbari sa menya
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,002
- 1,891
Unapata nini kwa kujidhalilisha namna hii,Naunga mkono hoja, Wanawake mashujaa hawa walio ipigania Chadema kwa machozi jasho na damu, hawawezi kunyanyaswa hivi, huku watetezi huru wa haki za binadamu tupo.
Na kwa vile hawa ni binadamu na sio malaika, wanaweza kukosea kwa kufanya makosa yoyote ya kibinaadamu kama binadamu wengine wote na hivyo kustahili kuadhibiwa na chama chao kwa adhabu yoyote stahiki kutokana na makosa yao, ikiwemo kuvuliwa uanachama, ila hili likifanyika, lifanyike kwa haki kwa mujibu wa katiba sheria taratibu na kanuni za nidhamu za chama chao, na lifanywe na vikao halali vya mamlaka ya nidhamu na sio zile Kangaroo Court zao!.
P
Una ugomvi binafsi na Chadema?
Walipofukuzwa Sofia Simba, Jesca CCM
Walipofukuzwa wabunge wa viti maalum cuf, wakaenda mahakamani na bado wakapoteza ubunge wao hukuandika chochote,
Kwa unafiki mkubwa unajiita mtetezi wa haki za binadamu,