Kaka unanifurahisha sana, unakabia kwa juu kinoma. Mademu wadangaji wakiona thread zako wanaumwa tumbo la period.Na kinachofurahisha na kusikitisha kwa pamoja, usipompa hiyo hela anakuona masikini lakini yeye ambae hawezi kumudu mahitaji yake mwenyewe hajioni kama ana shida yoyote
Usikubali kusettle for less!!!Mimi ndio maana sina muda na mademu wa mtaani namfukuzia tu Abby Chams
πππ.....
Shida wewe unawazungumzia hao wa uswahilini Mimi si walengi haoKatika maisha usipende kubet na vitu ambavyo vipo wazi.Hao wengine unaowategemea uopoe mmoja wapo utampata lini.
Mzee huwezi fuga kunguru.Kama huamini tafuta shindikanaa(GUMEGUME) mmoja anza kulibadilisha uone moto wakeπππ
Mtu kalelewa uswahilimi,amekuwa amezoea maisha ya kiswahili.Wewe unataka kuja kumbadilisha.
Wewe kama umemuelewa chapa ilale,usiweke hopes utapoteana.
πKIJANA ACHA WAFU WAZIKANE.
πMASIKINI HAONEWI HURUMA.
OVER AND OUT!!!
Kutoka AINyeto ni jambo jema kwa kila binadamu mwenye akili timamu
Mbona n madhara ya kawaida sana hayo mzee, em nipe madhara ya soda kwanza.Kutoka AI
3. Lini Punyeto Inakuwa Tatizo?
Punyeto yenyewe haina madhara ya kiafya kwa tezi dume, lakini inaweza kuleta matatizo ya kisaikolojia au ya kimwili ikiwa itafanywa kwa kupindukia (addiction):
- Majeraha ya Ngozi: Kusugua sehemu za siri kwa nguvu kunaweza kusababisha michubuko, maumivu, au kuvimba kwa ngozi ya uume.
- Athari za Kisaikolojia: Uraibu wa punyeto unaweza kusababisha msongo wa mawazo, kupoteza muda, na kuathiri mahusiano au utendaji wa tendo la ndoa na mwenzi (kama vile erectile dysfunction ya kisaikolojia).
Kuna mwngine huko kananidanganya mama yake kadungwa na nyoka ana kama wik mbili hajaenda hosptal...yan hawa viumbe ni hatariBaby Nina njaa, baby naomba hela ya sikukuu, baby Nina umwa naomba hela ya matibabu, ndani ya mwezi unakuta anaumwa mara 10 hivi viumbe havina aibu kwa kweli hata ile haiba ya kiuwanamke wamepoteza ni wazuri hao kwenye kubuni mbinu za kuomba hela alafu wengi wao ni pisi Kali au wenye matako
Wanaume tunavumiliababy naomba sadaka kesho kanisani
Vumilia mkuu ndio maana ya mwanaume hioKuna mwngine huko kananidanganya mama yake kadungwa na nyoka ana kama wik mbili hajaenda hosptal...yan hawa viumbe ni hatari
π€£π€£π€£Kuna mwngine huko kananidanganya mama yake kadungwa na nyoka ana kama wik mbili hajaenda hosptal...yan hawa viumbe ni hatari