Wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha wengi wao hufanya mapenzi na wasugua kucha

Wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha wengi wao hufanya mapenzi na wasugua kucha

ziba

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
474
Reaction score
546
Wakuu habarini za kazi,

Nimegundua wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha na wasugua kucha huishia kusex nao. Huu ndiyo ukweli wasugua kucha wanagegeda sana wake za watu tena ndani ya nyumba zao. Nilikuwa naenda kumtembea rafiki yangu nyumbani kwake, jamaa akawa hayupo niliyemkuta alikuwa mkewe lakini hakuwa peke yake alikuwa na msugua kucha.

Nikaaga na kwenda zangu, siku mbili baadae nilikutana na yule msugua kucha kwakuwa tulikuwa tumeshafahamiana tukasalimiana na kuongea kidogo.

Katika maongezi yetu alijikuta akinieleza jinsi wanavyogegeda wake za watu. Anasema si rahisi umsugue miguu na kucha bila kuamsha hisia zake nahujikuta wakipewa tunda bure kabisa.

Msugua kucha alisema wengi wanaosex nao ni wake za watu.

Kazi kwenu wenye wake wanaopenda kusuguliwa kucha.

1632389169080.jpeg
 
Wakuu habrn za kazi

Nimegundua wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha na wasugua kucha huishia kusex nao.

Huu ndiyo ukweli wasugua kucha wanagegeda sana wake za watu tena ndani ya nyumba zao.

Nilikuwa naenda kumtembea rafiki yangu nyumbani kwake , jamaa akawa hayupo niliyemkuta alikuwa mkewe lkn hakuwa peke yake alikuwa na msugua kucha.

Nikaaga na kwenda zangu,siku mbili baadae nilikutana na yule msugua kucha kwakuwa tulikuwa tumeshafahamiana tukasalimiana na kuongea kidogo.

Ktk maongezi yetu alijikuta akinieleza jinsi wanavyogegeda wake za watu.

Anasema si rahisi umsugue miguu na kucha bila kuamsha hisia zake nahujikuta wakipewa tunda bureeee kbsa.

Msugua kucha alisema wengi wanaosex nao ni wake za watu.

Kazi kwenu wenye wake wanaopenda kusuguliwa kucha.
Ni sawa na sisi wanaume tunavyowagegeda wale wafanya scrub kule saluni,akishamaliza kukushikashika unaondoka na namba ya simu tu.
 
We jamaa so hata hum saloon tunaposhwa miguu na hawa wadada unahis tunamalizana sio ? Sasa hisia zipi zinapanda usuguliwapo au kukatwa kucha asee watu wengine mnaakil tofauti mno
 
Tatizo wanaume tupo nyuma sana ,, Baadhi yamambo nilazima umfanyie mwenzako ,,, mfano ,, badala ya yeye kwenda kupaka rangi salun ,, mwambie anunue rangi naumpake wewe ,, ndio umpake ...

Mwambie wife njoo nikusugue miguu ,,mwambie ndio ,,, Mwambie akanunue mahitaji kisha umfanyie wewe ,, wakat mwingine msione haya kwenda kuulizia wenyewe ,,Rang zakucha wanazozipenda wanawake ,, mafuta gan mazuri yafaa kwa massage ,, nunua mpaka wanavyotumia wao kusugua mkeo miguu alafu sasa iyo huduma uifanye wewe !! Daaahhh utamwona mwanamke atakavyokua mwanamke kwako ,,, nje nahapo utagongewa na mpaka rangi kucha,, Noway out.
 
Back
Top Bottom