Mkyashinho
Senior Member
- Jan 16, 2017
- 148
- 111
Sio zoazoa wale ni opportunist wazuri snWasugua kucha nao zoa zoa mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio zoazoa wale ni opportunist wazuri snWasugua kucha nao zoa zoa mno
Jamani leah2 nimekupenda ghafla kama ni kweli hujawahiHahahaha! Sijajitoa maana sijawahi kuingia
Yaani mimi alinisumbua sana! Na nilisafisha mara moja tu!!! Alivyokua anaosha, anaspray vimaji vya bariidi basi mwili wote unasisimka!!! Alafu anakuangalia machoni hukua anafanya shughuli yake... Unajihisi uko mbinguni!Washawahi ku attempt kutaka kukuzoa mkuu?
Wewe umewahi safishwa kucha Kama jibu ni ndio je hukunyegeshwa wakati zoezi linaendelea?
Kweli kabisaSio zoazoa wale ni opportunist wazuri sn
Kusuguliwa kuchaaaa au kugegedwa na msugua kucha?Binafsi sipendi huo ujinga kabisa
Kwan kila anaeenda anafanya hvyo hapana...Ukweli ni upi mkuu
Bora wewe umekuwa mkweliYaani mimi alinisumbua sana! Na nilisafisha mara moja tu!!! Alivyokua anaosha, anaspray vimaji vya bariidi basi mwili wote unasisimka!!! Alafu anakuangalia machoni hukua anafanya shughuli yake... Unajihisi uko mbinguni!
Alivyomaliza akaomba namba, nikajikuta nampa zote mbili [emoji23][emoji23][emoji23] baadae ndo nikashtuka! Akaanza kusumbua kuniita ofa za lunch nikampotezea!!!
usiwaze mkuuOhoo, omba sana MUNGU usimpate aliezoea kusuguliwa[emoji3]
Nani kakudanganya msugua kucha hali chipsi,huo ndio mlo hawataki vyakula vigumu wanataka vitu lainilaini tuuAcha wasuguliwe tu. basi nyie wengiwenu kama hamuwezi kuwasugua vizuri? anakwenda zake kwamsugua kucha? kumbuka msugua kucha hali chipsi yayi sijui Baga... hapo lazima kisuguliwe sawa sawa.
Ni kweli maana wengi wa wake zetu wanaishi kwa matumaini hivyo hawa watu wanatusaidia maana siye tunaishi nao kama kaka na dada! Maskini Ukimwi utawaumbua hao wasugua kucha kwa k za dezoWakuu habrn za kazi
Nimegundua wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha na wasugua kucha huishia kusex nao.
Huu ndiyo ukweli wasugua kucha wanagegeda sana wake za watu tena ndani ya nyumba zao.
Nilikuwa naenda kumtembea rafiki yangu nyumbani kwake , jamaa akawa hayupo niliyemkuta alikuwa mkewe lkn hakuwa peke yake alikuwa na msugua kucha.
Nikaaga na kwenda zangu,siku mbili baadae nilikutana na yule msugua kucha kwakuwa tulikuwa tumeshafahamiana tukasalimiana na kuongea kidogo.
Ktk maongezi yetu alijikuta akinieleza jinsi wanavyogegeda wake za watu.
Anasema si rahisi umsugue miguu na kucha bila kuamsha hisia zake nahujikuta wakipewa tunda bureeee kbsa.
Msugua kucha alisema wengi wanaosex nao ni wake za watu.
Kazi kwenu wenye wake wanaopenda kusuguliwa kucha.
Duh Hatari Msugua kucha anamuitia boss wake ofa ya lunch? hivi huwa ni shingapi kusugua kucha?Yaani mimi alinisumbua sana! Na nilisafisha mara moja tu!!! Alivyokua anaosha, anaspray vimaji vya bariidi basi mwili wote unasisimka!!! Alafu anakuangalia machoni hukua anafanya shughuli yake... Unajihisi uko mbinguni!
Alivyomaliza akaomba namba, nikajikuta nampa zote mbili [emoji23][emoji23][emoji23] baadae ndo nikashtuka! Akaanza kusumbua kuniita ofa za lunch nikampotezea!!!
Wamama nyumban wachache sana wana huo mudaHao watakuwa wanawake wasiojishughulisha.. kutwa nzima amaeshinda nyumbani bila kazi lazima watu wajinome tuuuu....!!
"If a farmer fills his barn with grain, he gets mice. If he leaves it empty, he gets actors."
Hahahhahahahhahahahha HahahahahahaItabidi tupitie kozi za kusugua kucha sasa ili kupunguza mianya ya kuchapiwa.
Venue zoezi lilipofanyikia Kama ingeruhusu alafu angekuta na wewe una ukame wa genyee basi ungelika kirahisi Sana, biashara ingeisha same day.Yaani mimi alinisumbua sana! Na nilisafisha mara moja tu!!! Alivyokua anaosha, anaspray vimaji vya bariidi basi mwili wote unasisimka!!! Alafu anakuangalia machoni hukua anafanya shughuli yake... Unajihisi uko mbinguni!
Alivyomaliza akaomba namba, nikajikuta nampa zote mbili [emoji23][emoji23][emoji23] baadae ndo nikashtuka! Akaanza kusumbua kuniita ofa za lunch nikampotezea!!!