Wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha wengi wao hufanya mapenzi na wasugua kucha

Wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha wengi wao hufanya mapenzi na wasugua kucha

dah! Nashukuru manzi wangu alikuwa ananifundisha kumpaka kucha rangi na kusugua pia haha japokuwa tumebrake up ila ujuzi nnao sitochapiwa mke na wasugua kucha haha
 
Wale jamaa bwana,picha linaanza mdada anamuwekea mguu mapajan ili amuoshe miguu iwe Safi ampake rangi,katika kusafisha na kupaka rangi anamtekenya kijanja vidole na nyayo za miguu,mtekenyo WA vidole na nyanyo na katikati ya vidole vya miguu ni hatar Dada anagumiagumia na kuhangaika kwenye kiti mwingine anachekacheka ndani chupi ishalowa,kifuatacho fundi yule anajitia kumsafisha mpaka mapaja mwishowe uvumilivu unawashinda wanaelekea chumbani kupigana kimoja cha afya.ukirudi home ukimgusa mkeo anajikausha au anakwambia kachoka kumbe loh
 
Yaani mimi alinisumbua sana! Na nilisafisha mara moja tu!!! Alivyokua anaosha, anaspray vimaji vya bariidi basi mwili wote unasisimka!!! Alafu anakuangalia machoni hukua anafanya shughuli yake... Unajihisi uko mbinguni!
Alivyomaliza akaomba namba, nikajikuta nampa zote mbili
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
baadae ndo nikashtuka! Akaanza kusumbua kuniita ofa za lunch nikampotezea!!!
[emoji23] [emoji23] Papiii you`re too fun to handle
 
Utanunua rangi sawa na utasugua je kuchora utaweza ?
Mkuu ktk masuala ya mahusiano au ndoa nikazima mwanamme uwe mbunifu sana ,,otherwise utagongewa tuuu ,,mwanamke nikiumbe ambaye kitu kidogo atakachofanyiwa na mwingine kinaweza kumvuta haraka sana na akakusahau !!!.... Lkn km utakua mbunifu ,kila siku anakuona mpya kwake hapo mtadumu sana ,, ,,kwan wao wlizaliwa wanajua kupaka ???? Wengine maisha mpaka yamewagonga wakaamua kujitosa uko,,, kwaiyo ilo nisuala LA utayar namaamuzi kwamba ,, " Mimi Putin sitaki kugongewa ,kwaiyo nitajitahidi anione mpya kila siku " basi.
 
From to day nitakua nakagua pichu ya wife akitoka saloon, nikikuta imeloa tu ndio mwisho wa kwenda saloon
 
Binafsi nilacha hiyo tabia baada ya kupata shida nisuguliwapo nyayo...yaani nyege zinapanda kiasi nilitaka kupiga kelele ..nikaone si vyema nikaacha kbsa
Duuh! Mpaka nimetamani nikuone aisei..!
 
Umenikumbusha Arusha kuna jomba alivuruga kabisa familia yake kisa dada moja linalofanya hii shughuli.
ni kweli mkuu,siku hizi watoto wakali wote wapo kwenye masaloon,kwa sisi tusiokunywa pombe saluni ndio chimbo letu,mtoto anakutekenyatekenya pale ukimaliza unachukua namba na wala hawana hiyana
 
Back
Top Bottom