Tatizo wanaume tupo nyuma sana ,, Baadhi yamambo nilazima umfanyie mwenzako ,,, mfano ,, badala ya yeye kwenda kupaka rangi salun ,, mwambie anunue rangi naumpake wewe ,, ndio umpake ...
Mwambie wife njoo nikusugue miguu ,,mwambie ndio ,,, Mwambie akanunue mahitaji kisha umfanyie wewe ,, wakat mwingine msione haya kwenda kuulizia wenyewe ,,Rang zakucha wanazozipenda wanawake ,, mafuta gan mazuri yafaa kwa massage ,, nunua mpaka wanavyotumia wao kusugua mkeo miguu alafu sasa iyo huduma uifanye wewe !! Daaahhh utamwona mwanamke atakavyokua mwanamke kwako ,,, nje nahapo utagongewa na mpaka rangi kucha,, Noway out.