Wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha wengi wao hufanya mapenzi na wasugua kucha

Wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha wengi wao hufanya mapenzi na wasugua kucha

Kwakweli nikipita bila ku comment hapa ntakuwa sijakutendea haki,endelea hivyohivyo mama big up kwa sana
Sawa ila usisahau kumwambia mkeo aachane na hiyo tabia maana ipo siku ataomba kusuguliwa na mgongo kbsa
 
Sawa ila usisahau kumwambia mkeo aachane na hiyo tabia maana ipo siku ataomba kusuguliwa na mgongo kbsa
Hahahahahah bahati nzuri au mbaya bado sijafanikiwa kumpata wa kunipenda ila nikimpata nitam treat the way umeniambia
 
Wakuu habrn za kazi

Nimegundua wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha na wasugua kucha huishia kusex nao.

Huu ndiyo ukweli wasugua kucha wanagegeda sana wake za watu tena ndani ya nyumba zao.

Nilikuwa naenda kumtembea rafiki yangu nyumbani kwake , jamaa akawa hayupo niliyemkuta alikuwa mkewe lkn hakuwa peke yake alikuwa na msugua kucha.

Nikaaga na kwenda zangu,siku mbili baadae nilikutana na yule msugua kucha kwakuwa tulikuwa tumeshafahamiana tukasalimiana na kuongea kidogo.

Ktk maongezi yetu alijikuta akinieleza jinsi wanavyogegeda wake za watu.

Anasema si rahisi umsugue miguu na kucha bila kuamsha hisia zake nahujikuta wakipewa tunda bureeee kbsa.

Msugua kucha alisema wengi wanaosex nao ni wake za watu.

Kazi kwenu wenye wake wanaopenda kusuguliwa kucha.
Wenye wake zao watakukunja
 
Hao watakuwa wanawake wasiojishughulisha.. kutwa nzima amaeshinda nyumbani bila kazi lazima watu wajinome tuuuu....!!

"If a farmer fills his barn with grain, he gets mice. If he leaves it empty, he gets actors."
 
Ni mambo ya ajabu kabisa. Haya mambo ya kusingwa,kusafishwa kucha scrub etc
na opposite gender ni miongoni mwa vichocheo vya uzinifu.
Hehe bora iendelee kuwa opposite gender mkuu, ikibadilika wimbi la mashoga na wasagaji litazidi.
 
Ivi kwa nini wanawake hawafanyi hii kazi ya kuwasugua miguu wanawake wenzao?
 
Back
Top Bottom