Wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha wengi wao hufanya mapenzi na wasugua kucha

Duu...hii kali aisee...ila Kama kuna mwanaume anayeruhusu mkewe akasuguliwe kucha na Hii mijamaa atakuwa ana kasoro..ila inaonekana wengi wa wadada wanaopenda kusuguliwa kucha na hawa Jamaa wanafanya kwa siri..kwa asilimia kubwa waume zao hawajui kamchezo haka. Hii ni changamoto Kwakweli.
 
Binafsi nilacha hiyo tabia baada ya kupata shida nisuguliwapo nyayo...yaani nyege zinapanda kiasi nilitaka kupiga kelele ..nikaone si vyema nikaacha kbsa
Swali yule jamaa uliwahi kumweleza kama ukisuguliwa hapo unapata nyege? ni swali tu
 
Tatizo wanaume tupo nyuma sana ,, Baadhi yamambo nilazima umfanyie mwenzako ,,, mfano ,, badala ya yeye kwenda kupaka rangi salun ,, mwambie anunue rangi naumpake wewe ,, ndio umpake ...
Mwambie wife njoo nikusugue miguu ,,mwambie ndio ,,, Mwambie akanunue mahitaji kisha umfanyie wewe ,, wakat mwingine msione haya kwenda kuulizia wenyewe ,,Rang zakucha wanazozipenda wanawake ,, mafuta gan mazuri yafaa kwa massage ,, nunua mpaka wanavyotumia wao kusugua mkeo miguu alafu sasa iyo huduma uifanye wewe !! Daaahhh utamwona mwanamke atakavyokua mwanamke kwako ,,, nje nahapo utagongewa na mpaka rangi kucha,, Noway out.
Hawa viumbe wa kike hawakosagi sababu utasikia kupaka rangi na kusugua miguu kwenyewe hujui,utaishia kugombana nae tu.......amini ilo
 
Tatizo wanaume tupo nyuma sana ,, Baadhi yamambo nilazima umfanyie mwenzako ,,, mfano ,, badala ya yeye kwenda kupaka rangi salun ,, mwambie anunue rangi naumpake wewe ,, ndio umpake ...
Mwambie wife njoo nikusugue miguu ,,mwambie ndio ,,, Mwambie akanunue mahitaji kisha umfanyie wewe ,, wakat mwingine msione haya kwenda kuulizia wenyewe ,,Rang zakucha wanazozipenda wanawake ,, mafuta gan mazuri yafaa kwa massage ,, nunua mpaka wanavyotumia wao kusugua mkeo miguu alafu sasa iyo huduma uifanye wewe !! Daaahhh utamwona mwanamke atakavyokua mwanamke kwako ,,, nje nahapo utagongewa na mpaka rangi kucha,, Noway out.
Huu mda unatoa wapi?
 
Hahahahahahaaaaaa ukiwa na wivu hutaoa na hata ukioa utapata tabu na maisha maana mawazo yako hayatatulia juu ya usalama wa mkeo,ukiondoka asubuhi kwenda kazini unawaza tu sijui wale jamaa wasugua kucha wamefika home,sijui wauza vitu vya uzuri wamekuja kumuuzia mama yeyoo basi kutwa kucha mawazo tu,,wewe ndg kaa utulize akili wengine humu wanaandika maneno magumu kukutia ndimu ww wao wamekaa pembeni wametulia,, mwamini mkeo hata kama atafanywa sio kosa lako ni tamaa zake tu,,ipo siku atajifunza na kuacha uchafu huo wa kuisaliti ndoa yake
 
Huu mda unatoa wapi?
Hata Mo Dewji anapata muda mwingi wa kupeana mahaba na mtu wake.

Labda km ni mlala hoi ambaye masaa 24 siku saba ,wewe nikujifanya upo bize .

Upate muda wa Kukaa BAR unywe pombe na kuvuta sigara .... Ukoswe muda wa kumfanyia Massage mwanamke wako???

Huo ni UPUMBAVU
 
A

Acha kujiendekeza we kijana uzungu wa kusuguana kucha na mkeo unautoa wapi?
 
Tatizo wanaume tupo nyuma sana ,, Baadhi yamambo nilazima umfanyie mwenzako ,,, mfano ,, badala ya yeye kwenda kupaka rangi salun ,, mwambie anunue rangi naumpake wewe ,, ndio umpake ...

Mwambie wife njoo nikusugue miguu ,,mwambie ndio ,,, Mwambie akanunue mahitaji kisha umfanyie wewe ,, wakat mwingine msione haya kwenda kuulizia wenyewe ,,Rang zakucha wanazozipenda wanawake ,, mafuta gan mazuri yafaa kwa massage ,, nunua mpaka wanavyotumia wao kusugua mkeo miguu alafu sasa iyo huduma uifanye wewe !! Daaahhh utamwona mwanamke atakavyokua mwanamke kwako ,,, nje nahapo utagongewa na mpaka rangi kucha,, Noway out.
Bora kutokuoa ili waendelee kulalamika kwamba waoaji hawapo
 
Back
Top Bottom