Wanawake wanaostahili kuhudumiwa na kupewa pesa

Napitaga selfika nacheka sana mda mwingine, binti anambiwa ni mzuri ila hashtuki kuwa anafarijiwa kipumbavu kabisa, huo unafki sinaga asee bora nisifie nunavyoona ni vizuri kweli🀣
Hata mimi sipendi kwenda motoni kwa kumwamwambia mtu uwongo. Kama binti ni mbaya nitasema kuwa ni mbaya, kama ni mzuri vivyo hivyo.

Ni dhambi isiyosameheka kumwambia mwanamke ni mzuri ilihali ni mbaya. Kule kumpa sifa ambayo hana kutamfanya aanzee kuvimba mtaani na na kuawaona wenzake vikaragosi.
 
πŸ˜…πŸ˜…siku ukiijua jf vizuri utafuta stress zako zote humu🀣
 
Ukiwa na marafiki humu , ni kama umejiloga , kuwa free bwashee 🀣🀣
 
Wewe Ntu yupo aliyepanda hapa jukwaani kudai free mini mee je sasa umekuwa huru ama anatumia akaunti yako,vinginevyo nione kanusho lako mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…